Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas

Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas

Salama wakuu

Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu

Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki

Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata changamoto hii?
Ni kweli....
 
Hata mimi kidg niisem sim mbovu na nilikuwa na appointment sehm sim hazitoki zima washa restart mmae mpk basi
 
Back
Top Bottom