Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Nahitaji kuwaangamiza for good wasiwepo kwenye jengo kabisa either sides of the wallNafikiri tiles itasaidia kwa ndani, sema mcha wataendelea kujenga makazi yao nje ya ukuta.
Nafikiri tiles itasaidia kwa ndani, sema mcha wataendelea kujenga makazi yao nje ya ukuta.
Habari zenu wanajamvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]). Sasa recently naona nyumba inavamiwa na mchwa wale wakubwa na wanajenga vichuguu vya kufa mtu.
Je, hii changamoto naitatuaje? Natumia dawa ya DKO ila nahitaji suluhisho la kudumu kabla sijaendelea na michakato mingine ya tiles na skimming.
Nakaribisha michango jengefu
[emoji120][emoji120][emoji120]
Hili vumbi la mabaki ya tumbaku na sumu zake ni kiboko, kuwakomesha, unamwaga na kwenye garden, mchwa watakuona ni Taliban.tafuta mabaki ya tumbaku yale tunayomwaga shambani km mbolea zen chimba pembezoni mwa kuta kwa nje na ndani mwaga hiyo mbolea zen fukia uendelee na maisha hutokuja kuona mchwa.
km ndani ushapiga rafu floor tafta termite killer.
Haya mabaki ya tumbaku huwa yanapatikana wapi?Hili vumbi la mabaki ya tumbaku na sumu zake ni kiboko, kuwakomesha, unamwaga na kwenye garden, mchwa watakuona ni Taliban.
Everyday is Saturday...............................π
Kwa sasa kiwanda ni kimoja tu Alliance One, Morogoro.Haya mabaki ya tumbaku huwa yanapatikana wapi?
hiyo DKO unaweka kiasi gani mkuu...unatakiwa uweke ya kutosha nicheki PMHabari zenu wanajamvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu π€£π€£π€£). Sasa recently naona nyumba inavamiwa na mchwa wale wakubwa na wanajenga vichuguu vya kufa mtu.
Je, hii changamoto naitatuaje? Natumia dawa ya DKO ila nahitaji suluhisho la kudumu kabla sijaendelea na michakato mingine ya tiles na skimming.
Nakaribisha michango jengefu
πππ
Funguka wanufaike wengi!hiyo DKO unaweka kiasi gani mkuu...unatakiwa uweke ya kutosha nicheki PM