Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Habari zenu wanajamvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu 🤣🤣🤣). Sasa recently naona nyumba inavamiwa na mchwa wale wakubwa na wanajenga vichuguu vya kufa mtu.
Je, hii changamoto naitatuaje? Natumia dawa ya DKO ila nahitaji suluhisho la kudumu kabla sijaendelea na michakato mingine ya tiles na skimming.
Nakaribisha michango jengefu
🙏🙏🙏