HOJA Changamoto ya mfumo wa e-uhamisho kutotambua ufanano wa kada na taaluma kati ya taasisi za umma

HOJA Changamoto ya mfumo wa e-uhamisho kutotambua ufanano wa kada na taaluma kati ya taasisi za umma

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu, hivi Kuna watu wanaenda pale UTUMISHI kulialia then wakafanikiwa kutoka na kibali cha uhamisho..?
Kiukweli nina mfano mmoja tu wa mtu wa hivi. Jamaa tupo wote interior kuna ahali alipata ikamuacha na ulemavu wa kuonekana.

Kwahiyo alienda utumishi na akachomoka ingawa nenda rudi zilikua za kutosha
 
Kwa
Kiukweli nina mfano mmoja tu wa mtu wa hivi. Jamaa tupo wote interior kuna ahali alipata ikamuacha na ulemavu wa kuonekana.

Kwahiyo alienda utumishi na akachomoka ingawa nenda rudi zilikua za kutosha
Kwa hali hiyo ya Huyo jamaa kama wangekaza basi Wasingekuwa watu wenye roho za kibinaadam
 
Back
Top Bottom