Kiukweli nina mfano mmoja tu wa mtu wa hivi. Jamaa tupo wote interior kuna ahali alipata ikamuacha na ulemavu wa kuonekana.Mkuu, hivi Kuna watu wanaenda pale UTUMISHI kulialia then wakafanikiwa kutoka na kibali cha uhamisho..?
Kwa hali hiyo ya Huyo jamaa kama wangekaza basi Wasingekuwa watu wenye roho za kibinaadamKiukweli nina mfano mmoja tu wa mtu wa hivi. Jamaa tupo wote interior kuna ahali alipata ikamuacha na ulemavu wa kuonekana.
Kwahiyo alienda utumishi na akachomoka ingawa nenda rudi zilikua za kutosha
Kabisa mkuuHuu mfumo tutasaga meno kwelikweli
Tunaendelea kuvuta subraSubra jamani