Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba msaada.