Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
TATIZO NI INCOMPETENCE NA KIBURI PAMOJA NA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WA WALIOPEWA DHAMANA YA KUTOA HIZO CERTIFICATE.
KWA KIBURI NA UZEMBE HUO WAMESABABISHIA WAHITIMU WENGI KUKOSA HAKI ZAO KWANINI WAHUSIKA WASITUPIE JICHO KWA HAO WAHALIFU ?
Hii hata Mimi imenikuta ni wiki imeisha sasa naambiwa hivyo hivyo, sasa sijui mpango wao ukoje, ni vyema wakapitia mfumo wao na kutoa ufafanuzi zaidiii