KUHANIMKUU
Member
- May 15, 2020
- 58
- 109
Mimi harusi yangu sikuchangisha hata mia!!Mimi siku ya harusi yangu sikuomba mchango hata kwa mtu mmoja kwasababu harusi ni yangu mimi,mke atakuwa wangu mimi, kuna jamaa yangu alitoa hela ya mchango mimi na yeye wala hatuongei nikasema rudisheni hela yake sina haja nayo.
Onyesha watu unaweza kufanya bila ya mchango wao.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
πππbinafsi mimi ninao mkeka wa watu walionichangia