Changamoto ya michango ya harusi

Changamoto ya michango ya harusi

Mi hua sichangii kindezindezi mkuu, labda uwe mtu wangu wa karibu saaana ndiyo ninaweza kukuchangia. Maisha tight sana...huku KODI ya serikali, ukigeuka huku unakutana na TOZO, hujafika mbali KODI ya nyumba hiyo hapo inakisubiri...ukiangalia mbele kidogo unaona ADA ya shule ya watoto inakisubiri....Hari siyo shwari tukiendeleza michango ya kujinga tunaongeza stress na kujipunguzia siku za kuishi!

Kuendekeza michango ya atusi ni kuendekeza umaskini!
 
Mtu anayekukazania kumchangia kama sio ndugu yako,mwambie na mm utanipa nipige show kwa mkeo.?
Mwambie msichoshane kila mtu apambane na hali yake.
 
Kuna makanisa ya heshima ukioa bila harusi unatengwa ushirika au unafukuzwa kabisa na kuambiwa umeoa gizani hiyo sio ndoa na haitambuliki. Suala la kuchangisha watu kwa ajili ya harusi ni changamoto na ni aibu, baadhi ya waoaji wanaona kuliko kufunga ndoa inayolizimisha sherehe ya gharama wanaamua kukwepa kuchangisha watu kwa suala la kuoa ambalo ni jepesi
 
Mimi siku ya harusi yangu sikuomba mchango hata kwa mtu mmoja kwasababu harusi ni yangu mimi,mke atakuwa wangu mimi, kuna jamaa yangu alitoa hela ya mchango mimi na yeye wala hatuongei nikasema rudisheni hela yake sina haja nayo.

Onyesha watu unaweza kufanya bila ya mchango wao.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mimi harusi yangu sikuchangisha hata mia!!
Nilijipanga nikatenga kila kitu
Harusi ilikuwa na idadi ya watu 52 tuu
Full kula na kunywa mpaka watu wakakimbia
 
Back
Top Bottom