KUHANIMKUU
Member
- May 15, 2020
- 58
- 109
Mi hua sichangii kindezindezi mkuu, labda uwe mtu wangu wa karibu saaana ndiyo ninaweza kukuchangia. Maisha tight sana...huku KODI ya serikali, ukigeuka huku unakutana na TOZO, hujafika mbali KODI ya nyumba hiyo hapo inakisubiri...ukiangalia mbele kidogo unaona ADA ya shule ya watoto inakisubiri....Hari siyo shwari tukiendeleza michango ya kujinga tunaongeza stress na kujipunguzia siku za kuishi!
Kuendekeza michango ya atusi ni kuendekeza umaskini!
Kuendekeza michango ya atusi ni kuendekeza umaskini!