Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa kurudi kwa mwajiri au halmashauri, lakini ukifika huko unaambiwa hakuna anayejua kilichotokea kwa sababu viongozi au watumishi waliokuwepo kipindi hicho hawapo tena.
Tunaomba mamlaka husika zisaidie kutatua changamoto hii ili wanachama wasiendelee kupata usumbufu wa kuhangaika kutoka ofisi moja kwenda nyingine wakitafuta ufafanuzi wa michango yao.