Changamoto ya msimamizi wa kampuni ya mikopo kutokuwa na time management

Kumfumaster97

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
354
Reaction score
372
Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie
Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye hii kazi na mshahara ni 200k per month n+ plus posho kwa mwajiriwa miezi 3 ya mwanzo
Lakini kuna changamoto ambayo nimekutana nayo kwamba huyo msimamizi yaan manager kazi yake ya kwanz ni kunionyesha wateja walio nje ya mkataba na ndani ya mkataba so far sio mtu mwenye objective kabisa tunapotoka maskani sasa shida iko hap tukienda kwa mteja utakuta ashamaliza lengo la kunionyesha yey anaanza story plus umbea mwingine kias kwamba namsubiri mpaka nachoka na akijua mimj ni mgeni so sometimes naondoka home there after nataka nifanye maamuzi ya kuachana na hii mishe maan jamaa ni kam hashauriki na ukimweleza kwamba hapa na hapa umekosea anawaka ooh ntawaachia hii kazi maana mimi na cashier wote ni wageni ila huyo mwasibu yeye hakutani na challenges sanaa kam mimi
wakuu naombeni ushauri wa kujenga please
 
Unataka kipato cha kuendesha maisha yako au u ataka tabia njema za boss wako??

Jitahidi kujua unachokitaka.....
 
Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie
Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye hii kazi na mshahara ni 200k per month n+ plus posho kwa mwajiriwa miezi 3 ya mwanzo
Lakini kuna changamoto ambayo nimekutana nayo kwamba huyo msimamizi yaan manager kazi yake ya kwanz ni kunionyesha wateja walio nje ya mkataba na ndani ya mkataba so far sio mtu mwenye objective kabisa tunapotoka maskani sasa shida iko hap tukienda kwa mteja utakuta ashamaliza lengo la kunionyesha yey anaanza story plus umbea mwingine kias kwamba namsubiri mpaka nachoka na akijua mimj ni mgeni so sometimes naondoka home there after nataka nifanye maamuzi ya kuachana na hii mishe maan jamaa ni kam hashauriki na ukimweleza kwamba hapa na hapa umekosea anawaka ooh ntawaachia hii kazi maana mimi na cashier wote ni wageni ila huyo mwasibu yeye hakutani na challenges sanaa kam mimi
wakuu naombeni ushauri wa kujenga please
Kwa uandishi huu alaf unataka kuwa mshauri wa boss. Natamani niijue hyo kampuni
 
Back
Top Bottom