Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hawapo pamoja na Hamas kwa mujibu wa nani ? Wewe dogo ni mpumbavu ?!.Sikuwachagua, ila inabidi ujue, usipoongoza watu vizuri matokeo yake ndo kama hayo,
Ndo mana unaona hata hao raia wa Gaza this time hawapo pamoja na HAMAS, kwa sababu wanajua Hamas wapo hapo kwa ajiili ya madaraka, sio kwa ajiili ya watu,
Wangekuwa hapo kwa ajiili ya watu wangefikiria vyema nini wanakifanya kabla ya oct 7
Hahaaaaa, verse za MK254
Watu wakishika mistari kama hii wanaitumia kwenye siasa ili kupata popularityHuwa sikawii nikiwa tagged, tena zimeandikwa kwa lugha nyepesi, halafu hapo chini nimeongeza zile ambazo zinaagiza waislamu wachinje wayahudi wote
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Uroho gani wa madaraka wewe mjinga. Uliwachagua wewe ?Naona umepanic, ila jua uroho wa madaraka wa HAMAS unaondoka na mtoto mmoja kila baada ya dakika 10,
Ulitaka wawe na maamuzi na misimamo gani ?Sikuwachagua mimi, ila hio haifuti ukweli kuwa maamuzi yao ya kipuuzi na misimamo yao mikali inacost maisha ya watu wengi sanaaaa,
Mchango wa dini gan?Unafahamu mchango wa dini katika harakati za kudai uhuru Afrika ?
: Umesoma elimu ya msingi yote
AfghanistanNime summarize tu mkuu,
Ila unaweza nitajia nchi hata moja tu duniani, inayo ongozwa na watu walio ingia ikulu kwa mgongo wa dini na inafanya vizuri, haina rushwa na wananchi wake wana ustawi ?
Uisilam ni Kilevi kama pombe na bangiNgumu sana narudia ngumu sana kuutenganisha uislam na ugaidi,janjaweed wanaua waislamu wenzao wenye asili ya weusi.