Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hawapo pamoja na Hamas kwa mujibu wa nani ? Wewe dogo ni mpumbavu ?!.Sikuwachagua, ila inabidi ujue, usipoongoza watu vizuri matokeo yake ndo kama hayo,
Ndo mana unaona hata hao raia wa Gaza this time hawapo pamoja na HAMAS, kwa sababu wanajua Hamas wapo hapo kwa ajiili ya madaraka, sio kwa ajiili ya watu,
Wangekuwa hapo kwa ajiili ya watu wangefikiria vyema nini wanakifanya kabla ya oct 7