Changamoto ya Sisimizi wekundu Ndani ya Nyumba

Kuna nyumba nilipanga kilindi nimeanza kupanga kila nikipika chakula nikirudi nawakuta wamejaa,mbona nilihama na kuacha kodi,mzee mwenye nyumba alichukia hatari.nikamwambia utajiju na sisimizi wako

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanawafukuzia majoka nyie mnawaona kero
 
Tafuta dawa. Lakini quick fix wakitokea tu weka ganda la tango....menye tango halafu weka kipande cha ganda wanapotokea. Wanakimbia wote.
Kuna mtu ananisumbua sana nataka umtengeneze.


Nakuja inbobo
 
Imekua kero sasa, maana hawa wadudu wanasumbua sana.

Je nitumie dawa gani, kuondoa uwepo wao au kuwaangamiza
Nunua twiga gama (dawa ya mchwa ile ambayo ukichanganya na maji inabadilika rangi kuw nyeupe kama maziwa fresh)chimba eneo la uwanja wako mpaka mtaro wa upana wa 1ft urefu wa 1ft changanya hiyo dawa mwaka huko kwenge mtaro wako kote alafu fukia (ili harufu ibaki ardhini)hutokaa uone mdudu yeyote kwako (wale wanaokaa ardhini kama mchwa,kumbikumbi,msura,na nyenyeri)
 
Nunua akheri powder mimi nilikua muhanga kama ww nikaleta uzi humu nina mwezi sasa hao wadudu wamepotea
Imekua kero sasa, maana hawa wadudu wanasumbua sana.

Je nitumie dawa gani, kuondoa uwepo wao au kuwaangamiza
 

Hata mm pia ilinitokea

Kiboko ni akheri powder
Imekua kero sasa, maana hawa wadudu wanasumbua sana.

Je nitumie dawa gani, kuondoa uwepo wao au kuwaangamiza
 
Hao ni jamii ya siafu, mara nyingi hufuata maji, huwezi kuwakuta sehemu kavu. Usimwage mwage maji hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…