Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 502
- 815
Wakuu kama kichwa kinavyosema,
Mi ni mdau mkubwa wa Chinos, ni suruali yangu pendwa. Sasa changamoto ninayokutana nayo ni ukishafua zaidi ya mara 2 tu, especially zile za dark blue basi inachuja.
Nimejaribu kununua maduka mbalimbali mjini lakini naona zote ni mule mule, sasa nikahisi labda nakosea kwenye washing, maybe sabuni nayotumia, kama kuna mwenye ufahamu anisaidie.