Changamoto ya suruali za Chinos na Cadet za kuvutika kuchuja

Changamoto ya suruali za Chinos na Cadet za kuvutika kuchuja

Zina tofauti mkuu.
Mimi kuna cardet nazonunuaga kwenye maduka ya Max ya hawa GSM, mkuu sile cardet utavaa zitachanika pasipo kupauka. Sasa kuna hizi za mtaani hizi za 17 mpaka 35, yani hizi nikinunua nikifua mara mbili haitaminiki inakuwa imepauka over chafu chafu tu.
Cardet nzuri GSM zina-range kiasi gani mkuu?
 
chukua adress ya carrier wako mpe anuani seller au mpe carrier link yenye hio sell na mkabidhi pesa atapokea mzigo na kukuletea directly mpaka dsm ,mfano umeona item na hujui cha kufanya nenda ofisini kwa msafirishaji mfano silent wape link waplace oda wewe lipia na subiri item yako
asant sana
 
Mpe mfano wa VCCOBS  au DAOKERS.

Siku moja nimeenda kununua kwa jamaa mmoja aliyekuwa ananiuzia hizi suruali bahati mbaya (kwake) na bahati nzurI kwangu akawa hana akamwambia kijana akaniletee store (mambo ya winga) nikakaa kusubiri shida nilishalipa hela 35K kuishika na kuiona nikahisi hii quality siyo ila nikajifariji kwa sababu mimi ni mteja wake wa siku nyingi hawezi nipiga

Nimetoka pale kupita pita maduka mengine nikamuona jamaa anazo nae hizi Daokers nikaenda kumuuliza bei nashangaa ananiambia 25K,ni fake kama aliyonipa jamaa iliniuma sana nikahama nakuhama duka. Ndo mana mimi cku zote huwaga staki kuwa mteja wa mtu mmoja. Hawa wauza bidhaa wakishaona ushakua mteja wao wanakupiga bei wanayotaka wao mana wanajua kwamba hujui bei.
 
chukua adress ya carrier wako mpe anuani seller au mpe carrier link yenye hio sell na mkabidhi pesa atapokea mzigo na kukuletea directly mpaka dsm ,mfano umeona item na hujui cha kufanya nenda ofisini kwa msafirishaji mfano silent wape link waplace oda wewe lipia na subiri item yako
Kama upo mkoani na na hakuna ofisi je!
 
Mkuu hizi za kariakoo zote zinachuja mfuo wa pili, na watu wanapigwa bei kubwa wakiambiwa ni original.. cha kufanya.. kuliko ukanunue moja elf 85 mcity, nunua hizo hizo za elf 15 nyingi unafua mara moja kwa miezi mitatu
 
Back
Top Bottom