Changamoto ya suruali za Chinos na Cadet za kuvutika kuchuja

Changamoto ya suruali za Chinos na Cadet za kuvutika kuchuja

hii bei n pamoja na shipping? Hv taobao na tmall ni nzuri kuliko aliexpress?
DOLLA NNE UNAWEZA SAFIRISHA CARDET MPAKA 4 KWA SILENT OCEAN KITU MELI MZEE KIKUBWA UVUMILIVU NI OVER 30 DAYS ILA SOMETIMES INAWAHI .HIZO SOKO ZINA OFFICIAL STORE YA BRAND ZOTE KUBWA DUNIANI SO VITU NI UHAKIKA NA SALAMA KABISA
 
sawa sawa asante mzee nimekusoma
 
Enjoy huko mossimo ,zara,dickies polo lacoste unatungua tu kwa kuvizia sell mzee unainjoi maisha acha kuteseka na hio midosho ya carry and go kaa brand ufeel utofauti
na hz bei za sell mara nyng hua ni muda gani je mwisho wa mwez au mwisho wa week au? Na shipping vp wanaoganize wao wenyewe kama ilivo alixpres au inabidi mm ndo nishugulikie?
 
chukua adress ya carrier wako mpe anuani seller au mpe carrier link yenye hio sell na mkabidhi pesa atapokea mzigo na kukuletea directly mpaka dsm ,mfano umeona item na hujui cha kufanya nenda ofisini kwa msafirishaji mfano silent wape link waplace oda wewe lipia na subiri item yako
 
Mkuu sizungumzii cadet as cadet zile ngumu, nazungumzia Chinos.. Ni aina ya cadet ambazo kitambaa chake kinavutika, it’s like kitambaa flani hivi elastic..
Mpe mfano wa VCCOBS  au DAOKERS.

Siku moja nimeenda kununua kwa jamaa mmoja aliyekuwa ananiuzia hizi suruali bahati mbaya (kwake) na bahati nzurI kwangu akawa hana akamwambia kijana akaniletee store (mambo ya winga) nikakaa kusubiri shida nilishalipa hela 35K kuishika na kuiona nikahisi hii quality siyo ila nikajifariji kwa sababu mimi ni mteja wake wa siku nyingi hawezi nipiga

Nimetoka pale kupita pita maduka mengine nikamuona jamaa anazo nae hizi Daokers nikaenda kumuuliza bei nashangaa ananiambia 25K,ni fake kama aliyonipa jamaa iliniuma sana nikahama nakuhama duka.
 
Nenda ilala boma katungue cadet za mtumba ziko kibao.

Au nenda maduka ya kishua

Othii tafuta suruali za kitambaa zenye muonekano unaovutia machoni.

Kadeti za wachuuza wa kariakoo na wenye maduka achana nazo mchina tupu.
 
Wakuu kama kichwa kinavyosema

Mi ni mdau mkubwa wa chinos, ni suruali yangu pendwa.

Sasa changamoto nayokutana nayo ni ukishafua zaidi ya mara 2 tu, especially zile za dark blue basi inachuja. Nimejaribu kununua maduka mbalimbali mjini lakini naona zote ni mule mule, sasa nikahisi labda nakosea kwenye washing, maybe sabuni nayotumia.. kama kuna mwenye ufahamu anisaidie
Hizo ni bidhaa duni. Hazina kiwango. Hapo uende mtumbani au upande dau ununue chinos za kuanzia 150,000 na kuendelea. Hata hivyo, siwezi kukuhakikishia kilicho bora kwa 100% maana bongo hatuna bidhaa OG kiviiile.
 
Haswaaa ila naona now taobab na tmall Kuna sell ,Zara t-shirt zile zisizo na ukosi aka form six ziko dollar 13 tu kwa Moja na chinos org ziko 25 USD kazi kwa anayesaka sasa
 
Haswaaa ila naona now taobab na tmall Kuna sell ,Zara t-shirt zile zisizo na ukosi aka form six ziko dollar 13 tu kwa Moja na chinos org ziko 25 USD kazi kwa anayesaka sasa
Asante kwa taarifa nzuri. Nimekuwa mshamba wa Dar, sijui taobab na tmall zipo mitaa gani. Msaada tafadhali.
 
chukua adress ya carrier wako mpe anuani seller au mpe carrier link yenye hio sell na mkabidhi pesa atapokea mzigo na kukuletea directly mpaka dsm ,mfano umeona item na hujui cha kufanya nenda ofisini kwa msafirishaji mfano silent wape link waplace oda wewe lipia na subiri item yako
Kwa hiyo mkuu, mzunguko wote huu, mpaka mzigo unakufikia gharama inakua bado iko chini kuliko kununulia bongo!?
 
Back
Top Bottom