Zina range gani za Brand House??Cheap is expensive wanasema. Ingia brand house utungue kitu mkataba
Niliacha kupenda cadet kwa sababu hiyi, bora jeans inachuja ila haipotezi sana ubora.Cheap is expensive wanasema. Ingia brand house utungue kitu mkataba
SaviorKafulie dry cleaners. Zile za steam Wash za kufua kwa mvuke hazipaushi rangi, pili usipige pasi direct pigia juu ya kitambaa au gazeti
[emoji3577]Kafulie dry cleaners. Zile za steam Wash za kufua kwa mvuke hazipaushi rangi, pili usipige pasi direct pigia juu ya kitambaa au gazeti
Cheap is expensive wanasema. Ingia brand house utungue kitu mkataba
Zina tofauti mkuu.Wala is not about that mkuu. Nimenunua za expensive na cheap, zinatofautiana kidogo sana kwenye hili. Za bei ya juu zitapauka after kufua mara 3 mpk 4 za cheap ndo hata mara ya kwanza
Zina tofauti mkuu.
Mimi kuna cardet nazonunuaga kwenye maduka ya Max ya hawa GSM, mkuu sile cardet utavaa zitachanika pasipo kupauka. Sasa kuna hizi za mtaani hizi za 17 mpaka 35, yani hizi nikinunua nikifua mara mbili haitaminiki inakuwa imepauka over chafu chafu tu.
Zina tofauti mkuu.
Mimi kuna cardet nazonunuaga kwenye maduka ya Max ya hawa GSM, mkuu sile cardet utavaa zitachanika pasipo kupauka. Sasa kuna hizi za mtaani hizi za 17 mpaka 35, yani hizi nikinunua nikifua mara mbili haitaminiki inakuwa imepauka over chafu chafu tu.
Oooh, hapo nimekusoma mkuu hizi sizijui kabisa.Mkuu sizungumzii cadet as cadet zile ngumu, nazungumzia Chinos.. Ni aina ya cadet ambazo kitambaa chake kinavutika, it’s like kitambaa flani hivi elastic..
nilikua mimi mkuu ila now nawaka cardet zangu ni zara org now days navizia sell kutoka store zao nanunua pia navizia tmall na taobao napat VITU ORG NA PESA NI AROUND 35 TO 40 NAPENDEZA SANA SANAKuna mwingine nae alileta uzi wa boxer kuchoka baada ya siku chache,kiufupi nguo nyingi kwa sasa tunapigwa,hizi T shirt za 25k,cadet na jeans 35k,boxer za 5k na 10k kupata ambayo inadumu ni bahati nasibu...
hii bei n pamoja na shipping? Hv taobao na tmall ni nzuri kuliko aliexpress?nilikua mimi mkuu ila now nawaka cardet zangu ni zara org now days navizia sell kutoka store zao nanunua pia navizia tmall na taobao napat VITU ORG NA PESA NI AROUND 35 TO 40 NAPENDEZA SANA SANA