Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
DOLLA NNE UNAWEZA SAFIRISHA CARDET MPAKA 4 KWA SILENT OCEAN KITU MELI MZEE KIKUBWA UVUMILIVU NI OVER 30 DAYS ILA SOMETIMES INAWAHI .HIZO SOKO ZINA OFFICIAL STORE YA BRAND ZOTE KUBWA DUNIANI SO VITU NI UHAKIKA NA SALAMA KABISAhii bei n pamoja na shipping? Hv taobao na tmall ni nzuri kuliko aliexpress?
sawa sawa asante mzee nimekusomaDOLLA NNE UNAWEZA SAFIRISHA CARDET MPAKA 4 KWA SILENT OCEAN KITU MELI MZEE KIKUBWA UVUMILIVU NI OVER 30 DAYS ILA SOMETIMES INAWAHI .HIZO SOKO ZINA OFFICIAL STORE YA BRAND ZOTE KUBWA DUNIANI SO VITU NI UHAKIKA NA SALAMA KABISA
Enjoy huko mossimo ,zara,dickies polo lacoste unatungua tu kwa kuvizia sell mzee unainjoi maisha acha kuteseka na hio midosho ya carry and go kaa brand ufeel utofautisawa sawa asante mzee nimekusoma
na hz bei za sell mara nyng hua ni muda gani je mwisho wa mwez au mwisho wa week au? Na shipping vp wanaoganize wao wenyewe kama ilivo alixpres au inabidi mm ndo nishugulikie?Enjoy huko mossimo ,zara,dickies polo lacoste unatungua tu kwa kuvizia sell mzee unainjoi maisha acha kuteseka na hio midosho ya carry and go kaa brand ufeel utofauti
Mpe mfano wa VCCOBS au DAOKERS.Mkuu sizungumzii cadet as cadet zile ngumu, nazungumzia Chinos.. Ni aina ya cadet ambazo kitambaa chake kinavutika, it’s like kitambaa flani hivi elastic..
Hizo ni bidhaa duni. Hazina kiwango. Hapo uende mtumbani au upande dau ununue chinos za kuanzia 150,000 na kuendelea. Hata hivyo, siwezi kukuhakikishia kilicho bora kwa 100% maana bongo hatuna bidhaa OG kiviiile.Wakuu kama kichwa kinavyosema
Mi ni mdau mkubwa wa chinos, ni suruali yangu pendwa.
Sasa changamoto nayokutana nayo ni ukishafua zaidi ya mara 2 tu, especially zile za dark blue basi inachuja. Nimejaribu kununua maduka mbalimbali mjini lakini naona zote ni mule mule, sasa nikahisi labda nakosea kwenye washing, maybe sabuni nayotumia.. kama kuna mwenye ufahamu anisaidie
Haswaaa ila naona now taobab na tmall Kuna sell ,Zara t-shirt zile zisizo na ukosi aka form six ziko dollar 13 tu kwa Moja na chinos org ziko 25 USD kazi kwa anayesaka sasaHizo ni bidhaa duni. Hazina kiwango. Hapo uende mtumbani au upande dau ununue chinos za kuanzia 150,000 na kuendelea. Hata hivyo, siwezi kukuhakikishia kilicho bora kwa 100% maana bongo hatuna bidhaa OG kiviiile.
Asante kwa taarifa nzuri. Nimekuwa mshamba wa Dar, sijui taobab na tmall zipo mitaa gani. Msaada tafadhali.Haswaaa ila naona now taobab na tmall Kuna sell ,Zara t-shirt zile zisizo na ukosi aka form six ziko dollar 13 tu kwa Moja na chinos org ziko 25 USD kazi kwa anayesaka sasa
Asante kwa taarifa nzuri. Nimekuwa mshamba wa Dar, sijui taobab na tmall zipo mitaa gani. Msaada tafadhali.
Kwa hiyo mkuu, mzunguko wote huu, mpaka mzigo unakufikia gharama inakua bado iko chini kuliko kununulia bongo!?chukua adress ya carrier wako mpe anuani seller au mpe carrier link yenye hio sell na mkabidhi pesa atapokea mzigo na kukuletea directly mpaka dsm ,mfano umeona item na hujui cha kufanya nenda ofisini kwa msafirishaji mfano silent wape link waplace oda wewe lipia na subiri item yako
Ivi inakubidi uwe na app zao kwenye simu, yani uagize kupitia app zao?nilikua mimi mkuu ila now nawaka cardet zangu ni zara org now days navizia sell kutoka store zao nanunua pia navizia tmall na taobao napat VITU ORG NA PESA NI AROUND 35 TO 40 NAPENDEZA SANA SANA
vyovyote vile ila app itakupa mwongozo mzuriIvi inakubidi uwe na app zao kwenye simu, yani uagize kupitia app zao?
Suruali ya 15,000 au 20,000 ukafue kwa 10,000Kafulie dry cleaners. Zile za steam Wash za kufua kwa mvuke hazipaushi rangi, pili usipige pasi direct pigia juu ya kitambaa au gazeti
Kama mfuko unaruhusuSuruali ya 15,000 au 20,000 ukafue kwa 10,000