A
Anonymous
Guest
Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi Mtendaji.
=======
Waziri wa Maji
Mh. JUMAA AWESO
S.L.P, 456 Dodoma
Mh. Waziri sisi ni wadau na wateja/wananchi wa kawaida kabsa tunaishi maeneo ya mji wa ushirombo huku bukombe, pia tunafanya shughuli zetu za biashara na jamii.
Tunakupongeza kwa utendaji wako tunaouona kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na ziara mbalimbali kuhusu kuboresha huduma za maji kwa wananchi kama sisi ambao tunaishi kwny mazingra ya kipato cha chini.
Sisi tunasema umeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya maji kweneye nchi yetu kutokana na jinsi unavyotaka watendaji wa wizra ya maji kufanya kazi kwa bidii na kuleta maboresho na tunashukuru MAMA YETU RAIS jinsi anavyotaka wananchi tupate maendeleo lakini hapa ushirombo tuna kero yetu ya muda mrefu ya kukosekana maji wiki nzima na zaidi, kukatika mara kwa mara kwa maji mitaani bila hata sababu zinazoeleweka kutoka kwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji Ushirombo mjn pamoja na kwamba serikali imeleta mradi mkubwa lakini bado changamoto ya maji inakuwa kubwa kutokana tu na usimamizi mbovu wa utendaji.
Sisi wananchi tunaenda ofisini kwake tunawakuta tu wasaidizi wake ambao wanakuwa hawana majibu sahihi ya maswali yetu na siku ingine wanasema mpaka mkurugenzi awepo ofisini ndio tutapata majibu. Tunaleta malalamiko kwa sababu zifuatazo hapa chini:-
1. Sisi Wananchi wa mitaa ya Ushirombo tumekuwa tunaenda ofisini kwake mara kwa mara lakini hatumkuti ofisini hata kwa wiki nzima na tukiuliza watumishi walioko chini yake wanajibu Mkurugenzi hajafika kazini na hawana taarifa naye zaidi. Kutokana na tabia hii kuwa ya mara kwa mara na tunahitaji majibu yake kuhusu kuunganishiwa maji tukifuatilia tunagundua yuko nyumbani kwake au kuonekana maeneo ya mjini bila kazi.Mbaya Zaidi siku ambayo amejisikia kuja ofisini anakuja muda anaotaka yeye wakati wateja tumekaa kwa muda mrefu tunamsubiri yeye.
Mfano anaweza kuja hata saa nane za mchana wakati tunakuwa tumekaa tangu asubuhi tunamsubiri yeye. Mh. Wazir je hii ni haki kukaa kwa muda mrefu tunamsubiri mtu kuja kutusikiliza shida zetu ili atupe majibu au maelekezo yake?. Muda mwingine anafika na kujifungia ofisini kwake na kuanza kuongea na simu muda mrefu bila kujali kwamba amechelewa na amewakuta watu kwenye mabenchi wanamsubiri yeye. Mh. Waziri fanya uchunguzi kwenye ili na tunakuomba tuletee Mkurugenzi wa maji mwingine tunataka tusonge mbele na Serikali yetu.
2. Huyu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji ushirombo anatumia vibaya sana ofisi yake kwa manufaa binafsi kwa sababu amekuwa anatoa sababu kwa watumishi walioko chini yake kwamba amepata safari za kikazi nje ya Wilaya lakini tunamuona nyumbani. Mara kadhaa tunajibiwa yuko safari za kikazi Dodoma,Mwanza au Dar es salaam wakati yuko nyumbani kwake hapa Ushirombo. Mh.Waziri tunajiuliza huyu mkurugenzi ni saa ngapi anafanya kazi ofisini kwake Zaidi ya kuwaachia watumishi walioko chini yake taarifa za uongo kwamba amesafiri wakati anakuwepo hapa hapa ushirombo.
3. Mh. Waziri wa Maji, huyu mkurugenzi pindi ukifanikiwa kuonana naye kwa shida ya kiofisi na ukajaribu kueleza lalamiko kuhusu huduma za maji amekuwa na lugha mbaya, kali na yenye dharau ndani yake. Sisi wananchi tumefikia mpka hatua ya kuandika barua ya malalamiko kwa lengo la kupata ufafanuzi wa hoja za maji pindi atakaporejea ofisini azikute lakini cha ajabu tukifuatilia majibu ya barua zetu ofisini tunakuta majibu kwa Mafundi maji kuwa hakuna vifa, ili limetokea sana pump za maji zinavyoungua na kupelekea kukosa maji kwa muda mrefu.
Mh. Waziri, tunajiuliza maswali mengi ni kwa nini sisi tuendelee kutokuridhika na utendaji kazi wa huyu Mkurugenzi ambaye ameifanya mamlaka ya maji ushirombo kuwa mali yake binafsi kwa kufanya kazi anavyojisikia yeye wakati tukiendelea kuteseka na huduma ya maji bila kupewa maelezo au sababu za msingi za kucheleweshewa.
Ni wazi kwa kuwa sisi ndio wenye shida na huduma tumefuatilia na kufahamu kuwa zinatokana na utendaji mbaya wa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka hii ya maji. Tunakaa mpaka wiki nzima maji hayatoki na sababu hatuzijui.
Pia kila tukijaribu kufuatilia majibu ya maswali yetu kwa watumishi wengine wa mamlaka ya maji inaonekana nao wanamwogopa sana kutokana na lugha yake kali na tabia sugu ya kutokujali shida za wengine, kitendo kinachowafanya kuogopa kumwambia moja kwa moja malalamiko ya wateja wanaofika ofisini kwake kuhoji
majibu ya malalamiko yanayotokana na huduma za maji.
Pia, kutokana ma mahusiano mabaya na wateja na lugha na tabia ya kutojali shida za wengine pale ofisini kwake tuna wasiwasi mkubwa pia kuhusu kuwatendea haki watumishi wegine wa mamlaka ya maji walioko chini ikiwemo kuwalipa stahiki zao kwa wakati. Hii tunasema kutokana na hali ya watumishi tunaiona wakati wanahudumia wateja wa maji huku mtaani kwani hawako katika hali ya morali na motisha ya kutosha.
Mh. Waziri, kutokana na utendaji wako ambao tumekuwa tunashudia pale unapogundua kuna watendaji wazembe kwenye sekta yako tumeamua kuleta haya malalamiko kwa mara nyingine tena ili hatua zichukuliwe na kufanya uchunguzi kwa njia zako kujiridhisha na hoja za malalamiko haya.
Mh. Waziri wa Maji, sisi wananchi wa ushirombo tunakupongeza na tunatambua jitihada zako katika kushughulikia matatizo ya maji kwenye jamii zetu lakini kuna watendaji wanarudisha nyuma jitihada zako akiwemo huyu Mkurugenzi wa maji hapa Ushirombo. Kwani anatumia vibaya mamlaka aliyopewa na Serikali kwa safari za mara kwa mara ambazo ni za uongo. Angekuwa Mtendaji mzuri tuna Imani suala la maji lisingekuwa kero kwetu maana mtandao wa maji upo mkubwa hapa ushirombo lakini yeye anasema vifaa hamna.
Mh. Waziri, hakuna Binadamu anayeweza kuishi bila huduma ya maji popote pale na kila siku tunahitaji maji ili tuishi, lakini kuna watu hawajali na kuona suala la maji kama siyo la muhimu bali mambo yao binafsi na pale tunapohitaji majibu kuhusu huduma za maji hatumkuti huyu mkurugenzi ofisini kwake kwani anakuja pale anapojisikia na muda anaotaka yeye wakati sisi wananchi tunakaa tunasubiri, tunapoteza muda wa kufanya shughuli zetu zingine na hata akifika anatupa majibu kwa lugha kali yenye dharau na lugha ya kutojali shida zetu juu ya huduma za maji.
Mh. Waziri, haya ni machache sana ambayo tumeona yakupe tu picha ya utendaji kazi wa huyu Mkurugenzi ya mamlaka ya maji Ushirombo mjini anaitwa Getruda ili uweze kuchunguza vizuri kwani hatujaweza kuyataja yote hapa haya ni yale tu ambayo tumeyaona wakati tunafuatilia huduma za maji ofisini kwake kwa wakati
tofauti tofauti.
Mh. Waziri, sisi hatuna chuki binafsi ili kuthibitisha ili fanya uchunguzi juu ya utendaji wa huyu Mkurugenzi kuhusu kazi zake.
=======
Waziri wa Maji
Mh. JUMAA AWESO
S.L.P, 456 Dodoma
YAH: KUTORIDHIKA NA UTENDAJI KAZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA YA MAJI USHIROMBO- BI GETRUDA.