rombosa
New Member
- Jun 11, 2015
- 2
- 1
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya serikali ni TSH 600/- lakini inapofika nyakati za jioni nauli inabadilika hadi kufikia TSH 1,000/-.
Je, kuna mabadiliko ya nauli pasipo taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika?
Usalama wa abiria ni mdogo kwasababu magari yanajaza kupita kiasi, je mamlaka husika haioni hii hatari kwa usalama wa abiria? Mamlamka hazioni haya yanayotendeka?
Kama kuna uhaba wa magari kwanini mamlaka isione umuhimu wa kutoa vibali vya usafirishaji Ili kuongeza idadi ya magari kuepuka kero hii?
Kama tatizo siyo uhaba wa magari kwanini mamlaka haitimizi wajibu wake kwa kusimamia sheria na kanuni zilizowekwa?