DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa.

Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa akila hela za michango, hivyo kuleta usumbufu kwa wahitaji wanapotaka kupatiwa huduma za afya

Vile vile kuna usumbufu kwa wanachuo wapya kwa kuambiwa vifaa vya mazoezi watanunulia chuo wakiripoti, wakifika wanatoa fedha kwa ajili ya vifaa lakini inachukua hadi muhula mzima hawajapata vifaa na hivyo kushindwa kufanya masomo kwa vitendo kwa wakati sahihi.
 
Back
Top Bottom