ogwitabolela
New Member
- May 30, 2026
- 1
- 0
Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi miezi sita bila kupata huduma.
Na ukijaribu kufatilia wanakuambia Kuna uhaba wa vitendea kazi kama nguzo na mita Mpaka wazisubiri kutoka makao makuu Hali ambayo imekuwa ikizua sintofahamu na taharuki Kwa wateja.
Kitu cha kustaajabisha Kuna baadhi ya wateja wapya ambao unakuwa umewatangulia wanaunganishiwa huku wewe ukiendelea kusubiri.
Tunaomba serikali/Takukuru itusaidie kutatua changamoto hizi ili wananchi tupate huduma mapema Kwa maana Kuna Kila dalili ya rushwa na kutowajibika Kwa baadhi ya wahusika na watendaji katika shirika hili.
=======================

MAJIBU YA TANESCO HAYA HAPA
Habari, ndugu mteja.
Kwanza, tunaomba radhi kwa kuchelewa kukurejea. Katika kipindi hiki, tulikuwa katika mchakato wa kutatua changamoto zilizokuwa kwenye akaunti yetu, ambapo imeweza kutatuliwa.
Kuhusu suala lako, pole sana kwa changamoto unayopitia. Iwapo bado hujaunganishiwa huduma ya umeme, tunaomba ututumie namba yako ya maombi ya umeme ili tuweze kufanya ufuatiliaji wa karibu zaidi na kukusaidia ipasavyo.
Asante. ^CM