Habari, ndugu mteja.
Kwanza, tunaomba radhi kwa kuchelewa kukurejea. Katika kipindi hiki, tulikuwa katika mchakato wa kutatua changamoto zilizokuwa kwenye akaunti yetu, ambapo imeweza kutatuliwa.
Kuhusu suala lako, pole sana kwa changamoto unayopitia. Iwapo bado hujaunganishiwa huduma ya umeme, tunaomba ututumie namba yako ya maombi ya umeme ili tuweze kufanya ufuatiliaji wa karibu zaidi na kukusaidia ipasavyo.
Asante. ^CM