sawa mkuu lakini hapo kwenye proffessional qualification utumishi nilipoongea nao walinambia nijaze na nikajaza cheti vizuri tu ila uyu jamaa alikuwa akiapply kazi linatokea neno FAILED alafu kwa chini inaandika Sorry! You can not apply for the job post, Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post.Kuna 1. Academic qualifications, 2. Professional qualifications, 3. Working and Training Experience. Hapo ni vitu kama vinaendana ila ni tofauti.
Kwenye udereva sehemu yake ni hiyo Professional qualifications. Hapo ndo utakuta maelezo na ukiweka gamba linakubali mkuu.
ok karibu kiongozi
natumia computer kakaUnatumia kitaa gani kuweka hivyo vitu...?
Kazi ya dereva inaandika failed?? Kama kila kitu kimekaa mahali pake unaweza kuwa overqualified au under.
Kumbuka kuna kazi za dereva walizisitisha kuendeleza na mchakato wakasema kuwa watachukua kutoka kwenye database. So hiyo nayo inaweza kuwa sababu.
natumia computer kaka
ndio mkuu nina kila kitu hapa username na password zakeUna access ya account ya huyo mtu unayetaka kumjazia hizo details...?
Nikimaanisha una username na password yake...?
ndio mkuu nina kila kitu hapa username na password zake
ndio mkuu nina kila kitu hapa username na password zake
hapana sijaweza kuweka maana nikienda kwenye academic qualification sioni niweke nini kwa maana nilijaribu kuchagua kwenye cerficate ila tatizo linakuja kule kulia palipoandikwa programme category sioni inayoendana na hicho cheti cha basic kama unaweza kunisaidia hapo nitashukuru mkuuSawa, cheti cha basic umeshaweka...?
kila sehemu ipo sawa shida ni moja tu namna ya kuweka hicho cheti cha basic driving option zake hazipo paleSitaki kuku-rush ili kuepusha baadae kuniuliza maswali ndio maana naenda taratibu ili kujua kama kila mahali pamekaa sawasawa kiongozi.
Kwa hiyo twende hatua kwa hatua tafadhali. Mi jamaa alishawahi kuniambia nimlipe pesa Bonde la Baraka ili anijazie hiyo sehemu nikapotezea Utumishi nikawa natafuta positions kwenye site za NGO na sehemu nyingine mpaka nilipopata msamaria mwema peter Intelligent akanisaidia aisee.
hapana sijaweza kuweka maana nikienda kwenye academic qualification sioni niweke nini kwa maana nilijaribu kuchagua kwenye cerficate ila tatizo linakuja kule kulia palipoandikwa programme category sioni inayoendana na hicho cheti cha basic kama unaweza kunisaidia hapo nitashukuru mkuu
Polee sana mkuu. Ukipita kwenye usaili mpaka hatua ya mwisho. Mfano kazi inahitaji watu wanne. Mkapita mpaka hatua ya mwisho mkawa saba. Hapo wa watatu waliobaki watawahifadhi kwenye database kwa kuwa walifaulu (Kama ulizingua huingii kwenye database zao).Mkuu Hawa jamaa hawapo makini na kazi zao hasa upande wa Tehama mimi nili-apply LATRA barua ikaenda vizuri tu, baada ya hapo nikakuta msg kwenye kuwa nimeshindwa kuitwa kwenye usaili Lisa sina class C na E wakati leseni yangu ina E kiongozi.
Na hizo hizo nafasi za LATRA walihitaji watu 5 au 6 kama skosei lakini imagine wameitwa watu wanne, wanachujwa vipi...? Okay kama wataunganishwa na watu waliopo kwenye database kwa nini wasingewachukua hao wa kwenye database wakachagua watu wanne tu...?
Jamaa sometimes huwa siwaelewi kwa kweli, sorry kama upo hapo Kivukoni mkuu.
kama hutojali mkuu nikupe username na password hili uangalie profile jinsi tatizo lilivyoHujaelewa swali kiongozi kuna kuweka na kujaza kwenye kuweka maana yake una-upload na kujaza it means una-fill in fields ambazo zipo wazi.
Polee sana mkuu. Ukipita kwenye usaili mpaka hatua ya mwisho. Mfano kazi inahitaji watu wanne. Mkapita mpaka hatua ya mwisho mkawa saba. Hapo wa watatu waliobaki watawahifadhi kwenye database kwa kuwa walifaulu (Kama ulizingua huingii kwenye database zao)...
si mchezo kiongozi aya mambo ya system ni shida kweli kweli ngoja tuone itavyokuwa.Kazi ya dereva inaandika failed?? Kama kila kitu kimekaa mahali pake unaweza kuwa overqualified au under.
Kumbuka kuna kazi za dereva walizisitisha kuendeleza na mchakato wakasema kuwa watachukua kutoka kwenye database. So hiyo nayo inaweza kuwa sababu.
kama hutojali mkuu nikupe username na password hili uangalie profile jinsi tatizo lilivyo
kama hutojali mkuu nikupe username na password hili uangalie profile jinsi tatizo lilivyo