walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,553
sawa mkuu lakini hapo kwenye proffessional qualification utumishi nilipoongea nao walinambia nijaze na nikajaza cheti vizuri tu ila uyu jamaa alikuwa akiapply kazi linatokea neno FAILED alafu kwa chini inaandika Sorry! You can not apply for the job post, Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post.Kuna 1. Academic qualifications, 2. Professional qualifications, 3. Working and Training Experience. Hapo ni vitu kama vinaendana ila ni tofauti.
Kwenye udereva sehemu yake ni hiyo Professional qualifications. Hapo ndo utakuta maelezo na ukiweka gamba linakubali mkuu.