Changamoto za Ajira Portal

Changamoto za Ajira Portal

Kuna 1. Academic qualifications, 2. Professional qualifications, 3. Working and Training Experience. Hapo ni vitu kama vinaendana ila ni tofauti.

Kwenye udereva sehemu yake ni hiyo Professional qualifications. Hapo ndo utakuta maelezo na ukiweka gamba linakubali mkuu.
sawa mkuu lakini hapo kwenye proffessional qualification utumishi nilipoongea nao walinambia nijaze na nikajaza cheti vizuri tu ila uyu jamaa alikuwa akiapply kazi linatokea neno FAILED alafu kwa chini inaandika Sorry! You can not apply for the job post, Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post.
 
Kazi ya dereva inaandika failed?? Kama kila kitu kimekaa mahali pake unaweza kuwa overqualified au under.

Kumbuka kuna kazi za dereva walizisitisha kuendeleza na mchakato wakasema kuwa watachukua kutoka kwenye database. So hiyo nayo inaweza kuwa sababu.
 
Mkuu Hawa jamaa hawapo makini na kazi zao hasa upande wa Tehama mimi nili-apply LATRA barua ikaenda vizuri tu, baada ya hapo nikakuta msg kwenye kuwa nimeshindwa kuitwa kwenye usaili Lisa sina class C na E wakati leseni yangu ina E kiongozi.

Na hizo hizo nafasi za LATRA walihitaji watu 5 au 6 kama skosei lakini imagine wameitwa watu wanne, wanachujwa vipi...? Okay kama wataunganishwa na watu waliopo kwenye database kwa nini wasingewachukua hao wa kwenye database wakachagua watu wanne tu...?

Jamaa sometimes huwa siwaelewi kwa kweli, sorry kama upo hapo Kivukoni mkuu.
 
ndio mkuu nina kila kitu hapa username na password zake

Sitaki kuku-rush ili kuepusha baadae kuniuliza maswali ndio maana naenda taratibu ili kujua kama kila mahali pamekaa sawasawa kiongozi.

Kwa hiyo twende hatua kwa hatua tafadhali. Mi jamaa alishawahi kuniambia nimlipe pesa Bonde la Baraka ili anijazie hiyo sehemu nikapotezea Utumishi nikawa natafuta positions kwenye site za NGO na sehemu nyingine mpaka nilipopata msamaria mwema peter Intelligent akanisaidia aisee.
 
Sawa, cheti cha basic umeshaweka...?
hapana sijaweza kuweka maana nikienda kwenye academic qualification sioni niweke nini kwa maana nilijaribu kuchagua kwenye cerficate ila tatizo linakuja kule kulia palipoandikwa programme category sioni inayoendana na hicho cheti cha basic kama unaweza kunisaidia hapo nitashukuru mkuu
 
kila sehemu ipo sawa shida ni moja tu namna ya kuweka hicho cheti cha basic driving option zake hazipo pale
 
hapana sijaweza kuweka maana nikienda kwenye academic qualification sioni niweke nini kwa maana nilijaribu kuchagua kwenye cerficate ila tatizo linakuja kule kulia palipoandikwa programme category sioni inayoendana na hicho cheti cha basic kama unaweza kunisaidia hapo nitashukuru mkuu

Hujaelewa swali kiongozi kuna kuweka na kujaza kwenye kuweka maana yake una-upload na kujaza it means una-fill in fields ambazo zipo wazi.
 
Mkuu Hawa jamaa hawapo makini na kazi zao hasa upande wa Tehama mimi nili-apply LATRA barua ikaenda vizuri tu, baada ya hapo nikakuta msg kwenye kuwa nimeshindwa kuitwa kwenye usaili Lisa sina class C na E wakati leseni yangu ina E kiongozi.

Na hizo hizo nafasi za LATRA walihitaji watu 5 au 6 kama skosei lakini imagine wameitwa watu wanne, wanachujwa vipi...? Okay kama wataunganishwa na watu waliopo kwenye database kwa nini wasingewachukua hao wa kwenye database wakachagua watu wanne tu...?

Jamaa sometimes huwa siwaelewi kwa kweli, sorry kama upo hapo Kivukoni mkuu.
Polee sana mkuu. Ukipita kwenye usaili mpaka hatua ya mwisho. Mfano kazi inahitaji watu wanne. Mkapita mpaka hatua ya mwisho mkawa saba. Hapo wa watatu waliobaki watawahifadhi kwenye database kwa kuwa walifaulu (Kama ulizingua huingii kwenye database zao).

Na ikitokea deal inahitaji watu fasta ndo wanachukuliwa hao. Pia kuna deal huwa hazitangazwi ila unashangaa tu watu wamepangiwa kazi. Hao ndo wale waliohifadhiwa kwenye database, walifaulu lakini kutokana na nafasi kuwa chache hawakupewa kituo cha kazi.

Ila thamani ya kuwepo kwenye database inashuka kama kuna watu wengine wapya wakaingia. So inakuhitaji kuwa makini kwenye usaili kufaulu tu.

Sometimes system yao ina fail kulingana na masharti yao. Watu wa IT na wanaolekea hapo watakuwa wanajua zaidi kuhusu hilo.
 
Hujaelewa swali kiongozi kuna kuweka na kujaza kwenye kuweka maana yake una-upload na kujaza it means una-fill in fields ambazo zipo wazi.
kama hutojali mkuu nikupe username na password hili uangalie profile jinsi tatizo lilivyo
 
Polee sana mkuu. Ukipita kwenye usaili mpaka hatua ya mwisho. Mfano kazi inahitaji watu wanne. Mkapita mpaka hatua ya mwisho mkawa saba. Hapo wa watatu waliobaki watawahifadhi kwenye database kwa kuwa walifaulu (Kama ulizingua huingii kwenye database zao)...

Nakuelewa vyema kiongozi sasa kigezo ilikuwa mtu awe na C plain nna watu wangu wawili wana C plain na waliomba lakini wakaambiwa hamkuchaguliwa coz hamna C plain wakati leseni wamezi-attach na zinaonesha C plain wanazo jamaa na bado kwenye view ya LATRA hawajaitwa kisa eti hawana C wakati wanazo mkuu.
 
Kazi ya dereva inaandika failed?? Kama kila kitu kimekaa mahali pake unaweza kuwa overqualified au under.

Kumbuka kuna kazi za dereva walizisitisha kuendeleza na mchakato wakasema kuwa watachukua kutoka kwenye database. So hiyo nayo inaweza kuwa sababu.
si mchezo kiongozi aya mambo ya system ni shida kweli kweli ngoja tuone itavyokuwa.
 
kama hutojali mkuu nikupe username na password hili uangalie profile jinsi tatizo lilivyo

Hapana tunalimaliza hapahapa jamvini kaka. Mdogo mdogo tu ila ustoke online coz nimetenga muda wangu kwa ajili yako kiongozi.
 
kama hutojali mkuu nikupe username na password hili uangalie profile jinsi tatizo lilivyo

Screenshot_20200809-120018.png
 
Hapo kwenye duara jekundu ndio unatakiwa ku-attach basic certificate, VIP certificate, etc

Umeweka cheti cha basic kikakataa mkuu...?
 
Back
Top Bottom