ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Si kama watu hawapati ila usumbufu ni mkubwa usio na lazima,hivyo kupelekea majina machche tu ya candidates ndiyo yanawafikia huko utumishi...Mimi nimepata ajira kwenye taasisi nyeti nchi Hii bila kuwa na ndugu wala kushikwa mkono. Mkuu jipange ufaulu interview acha kusingizia upendeleo
Bado kwangu mfumo wa zamani ndiyo rafiki kwa mazingira ya kibongo sehemu ambapo hata internet yetu ipo weak