Changamoto za biashara: Ajuza amenitapeli laki 3 ya tigo pesa kizembe sana

pole sana kwa kutapeliwa lakini ilikuwa kizembe sana!
 
Daah ! pole sana mkuu , kikubwa ongeza umakini na kazi
 
Halafu bado unajiita uko makini? Jichunguze tena na tena kwa hilo tukio tu,ipo siku utataperiwa tena,ksbb hujui nini maana ya pesa
 
Hivi huwa wanatumia dawa au? Dogo dukani aliwahi kupigwa halafu maelezo hata hayaeleweki[emoji134][emoji134]
Hakuna cha dawa wala nini,ni uzembe tu wa watu,hasa mataperi wengi ni wataalam sana wa kumsoma mtu aliepo dukani,kama wanaweza kumuingia
 
Baadhi ya wazee wamejiingiza kwenye wimbi la utapeli hatar
 
Pole sana...

Kwenye biashara usikubali kumuhudumia mtu mwenye maelezo ya harakaharaka au kukuharakisha...

Atakuchanganya psychologically na utapigwa/kuibiwa...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…