Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Ngoja aje utamjua tuuNani huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja aje utamjua tuuNani huyo
Wanasemaga chuuma uuleteeHivi huwa wanatumia dawa au? Dogo dukani aliwahi kupigwa halafu maelezo hata hayaeleweki[emoji134][emoji134]
Itakuwa, maana alivyokuwa anaelezea hata haiingii akilini.Wanasemaga chuuma uuletee
Usiseme hivyo...Kweli ww mzembe aisee
Mimi nilidhani uliiona balansi ndio ukatoa laki 3 yako mkuu, kumbe kushika simu ukaamini kuna milioni ndani
Daah ! pole sana mkuu , kikubwa ongeza umakini na kaziMimi ni moja ya wafanya biashara wa simu pesa airtel money ,tigo pesa n.k.
Hii biashara zamani ilikuwa inalipa sana,kwa sasa move imepungua sana
1.wakala wako wengi sana
2.utapeli mwingi hasa km uliyemuweka hayuko makini.
Mwaka huu nimetapeliwa kizembe sana uwezi amini tena nilikuwa mimi mwenyewe.,niko makini sana na matapeli ila nimepigwa kizembe.
Alikuja bibi mtu mzima sana,kanipa simu nimsaidie kutoa laki4 ,simu yake ya techno inasamani kama elfu40 hivi.
Wakati niko kwenye mchakato kaniambia nipe laki3 nikampe mjukuu wangu yule pale na kweli nilimuona mjukuu wake,alidai anataka kusafiri haraka.
Kwa wakati ule nilikuwa na wateja so sikuzingatia sana na nilimwamini yule bibi.
Baadae nakuja kukumbuka bibi simuoni.
Nikasubiri kama 30 saa hivi ,nikaamua kuikagua simu ,nikakuta ina namba1 tu ,nilivyopiga haikupatikana mpaka sasa ninavyoandika hapa.
Wadau wenzangu nipeni uzoefu jinsi matapeli wanavyofanya.
Nimemsamehe coz najua nikifuatilia nitatumia zaidi ya laki3.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aseeeh kabisaaa... Na wapuuzi wanazeekaPole mkuu, matapeli nao huwa wanazeeka.
Hakuna cha dawa wala nini,ni uzembe tu wa watu,hasa mataperi wengi ni wataalam sana wa kumsoma mtu aliepo dukani,kama wanaweza kumuingiaHivi huwa wanatumia dawa au? Dogo dukani aliwahi kupigwa halafu maelezo hata hayaeleweki[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mbaya naye akale nyama choma na bia.
Vijana mnashika pesa nyingi bila kuwakumbuka wazee wenu,bibi amejiongeza!!
Faiza Ally?😂😂😂😂😂itakuwa ajuza wetu wa humu huyo,kwa vyovyote vile😝pole sana!!!
Sijui ndio huyo faiza faiza...🏃♀️🏃♀️🏃♀️Faiza Ally?
Baadhi ya wazee wamejiingiza kwenye wimbi la utapeli hatarMimi ni moja ya wafanya biashara wa simu pesa airtel money ,tigo pesa n.k.
Hii biashara zamani ilikuwa inalipa sana,kwa sasa move imepungua sana
1.wakala wako wengi sana
2.utapeli mwingi hasa km uliyemuweka hayuko makini.
Mwaka huu nimetapeliwa kizembe sana uwezi amini tena nilikuwa mimi mwenyewe.,niko makini sana na matapeli ila nimepigwa kizembe.
Alikuja bibi mtu mzima sana,kanipa simu nimsaidie kutoa laki4 ,simu yake ya techno inasamani kama elfu40 hivi.
Wakati niko kwenye mchakato kaniambia nipe laki3 nikampe mjukuu wangu yule pale na kweli nilimuona mjukuu wake,alidai anataka kusafiri haraka.
Kwa wakati ule nilikuwa na wateja so sikuzingatia sana na nilimwamini yule bibi.
Baadae nakuja kukumbuka bibi simuoni.
Nikasubiri kama 30 saa hivi ,nikaamua kuikagua simu ,nikakuta ina namba1 tu ,nilivyopiga haikupatikana mpaka sasa ninavyoandika hapa.
Wadau wenzangu nipeni uzoefu jinsi matapeli wanavyofanya.
Nimemsamehe coz najua nikifuatilia nitatumia zaidi ya laki3.
Huyo wa humu ana tabia ya utapeli ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa ajuza wetu wa humu huyo,kwa vyovyote vile[emoji13]pole sana!!!