Changamoto za Biashara ya Delivery kwa Bongo

Bado n biashara mpya kwetu bongo...tutaenda sawa tu mdomdo
 
Una computer zenye spacification zipi na bei ikoje?
 
Yapu ila kwa watema ni too mich Excuse kibao sana yaani
 
Yes hata wauzaji nao wasanii wapo sana na matapeli pia.
 
Shida ya hapa ni wale wa Dropingship sijui wanaita yaani na yeye inabidi akanunue then akutumie, ila kwa mwenye product yake kabisa mkononi huwa bei sio juu sana my be lakini
 
Njoo inmbox nazani huwa ni kwa ajili ya negotiation wanaaogopa to negotiate bei hadharani make na wengine watataka hiyo hiyo
Number 1 na 3 yaani umeongea vya maana sana.
Asilimia 95 ya online sellers ni gubu wakipata maswali na hilo la njoo inbox linakera zaidi.
Huko inbox sijui wataenda wangapi. Transparency sifuri.
 
Yaani Watanzania wana Excuse acha kabisa mkuu, yaani utasiki asiee mtoto kaumwa ghafla, mara sijui ninj aisee ni shida ilifikia point nikipewa oda na Wabongo nilikuwa natolea nje au namwambia lipia nusu kwanza
 
Kulipia kabla ni nzuri mno shida sasa nayo mtu ni mgumu anataka aone bidhaa kwanza shida iko hapo
Napitia the same challange aise kumbe ni desturi ya biashara hii asante umenipa namna ya kudeal na hii nshu yan alipe kabla hajapelekewa hata nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…