Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Hadi naumia mkuu ila sina namna ngoja hali itulie nitayauza tuPole sana i say. Hasara hasara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi naumia mkuu ila sina namna ngoja hali itulie nitayauza tuPole sana i say. Hasara hasara.
Kabisa nduguBado n biashara mpya kwetu bongo...tutaenda sawa tu mdomdo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakutumiaView attachment 1480664View attachment 1480665View attachment 1480666
View attachment 1480668
1.3m kwa hasara mkuuBei?
Una computer zenye spacification zipi na bei ikoje?Mkuu kwa hayo alivyoeleza jamaa hapo juu ni kweli tupu maana hali tulionayo hadi aibu tupu mimi nina kampuni yangu ya kuagiza mizigo midogo midogo hasa electronic kutoka mataifa ya ulaya na amerika, sasa unakuta mtu anakwambia niagizie kitu fulan mpaka ifike nitakuwa tayari nina hela aisee mtu unajipinda kununua mzigo unafika jamaa unamtafuta hapatikani au anasingizia mengine.
Balaa lake linakuja pale amekuagiza kitu ambacho ni ngumu wewe kupata mteja hadi inauma sana mfano nina macomputer ya ajabu ajabu mno bei zake ni ghali sana nimebaki naziangalia tuView attachment 1479452
Kupata tu hata mteja wa kuiulizia ni shughuli
Una computer zenye spacification zipi na bei ikoje?
Ina gpu ipi?
Ina gpu ipi?
Embu nitumie picha ya hii ukifungua pembeni kulia kwenye keyboard huwa kuna lebo nione hizo label.
Ok, nahisi nyingi hazina gpu za kueleweka.
YeapOk, nahisi nyingi hazina gpu za kueleweka.
Kamanda hivi umeacha kufanya ile biashara yako?Mimi ndo naingia huko kidogo kidogo nimepata kitu hapa
Sio kwa wateja tuu. Hata wauzaji pia.Mfano niliagiza kiatu number 7 nkaletewa number 8.
Kubadilisha inakua mlolongo mpaka unakata tamaa. Na hapo ushampa hela yake na cost ya delivery juu. Wa hivi siwapendi kabisa. Kukuletea kitu ambacho sicho ulitaka.
Sio kwa wateja tuu. Hata wauzaji pia.Mfano niliagiza kiatu number 7 nkaletewa number 8.
Kubadilisha inakua mlolongo mpaka unakata tamaa. Na hapo ushampa hela yake na cost ya delivery juu. Wa hivi siwapendi kabisa. Kukuletea kitu ambacho sicho ulitaka.
Kwasisi wa tz hizi biashara za kimtandao tunafanya tu kama hobbies nyingine yaani tunajaribu hatupo nayo serious sana. Hii mwisho wa siku inafanya tusione unafuu unaokuja na huu mfumo.
A. Wauzaji.
1. Anatangaza bidhaa au huduma bei anasema njoo inbox.
2. Anatangaza bidhaa au huduma but hatoi full description ya anachouza au huduma anayotoa.
3. Anakuwa na majibu ya jazba pale wateja wanapohoji au kidadisi kuhusu bidhaa au huduma.
4. Jambo la ajabu ni nafuu sana kwenda kununua kitu kariakoo kuliko mtandaoni, wanauza vitu kwa bei za kilanguzi sana plus wanapenda kuweka gharama za after service kama delivery charges zimuangukie mteja mwisho wa siku wateja hawaoni unafuu wowote.
5. Wauzaji wanakuwa interested kuuza tu na sio kutoa huduma kwa mteja kwa maana ya baada ya mauziano kupata mrejesho wake kuwa ameridhika ama la. Unaweza letewa kitu ukakuta ni kinyume na standard ulitaka then unashangaa ukimjulisha muuzaji anakuwa mbogo na wachache sana wanakuwa tayari kukusaidia kupata haki yako kama mteja.
6. Hakuna hati ya makabidhiano kama risiti wengi wanafanya biashara kiholela tu sababu hawana trainings za kuwa merchant wa mtandaoni.
Yapo mengine mengi sana yanayokwamisha hii kitu.
B. Wanunuzi.
1. Hawana imani na mauziano ya kimtandao.
2. Hawapo tayari kuingia gharama ya ziada na bei halisi wanaijua na wanajua wapi wanaweza pata bidhaa hiyo wakitaka kwa unafuu zaidi.
3. Wengi huagiza kama kujaribu na sio serious kuwa wanataka kuwa tegemezi ya mfumo huo wa manunuzi kwa njia ya mtandao.
4. Uvivu wa kufanya research ya anachotaka mfano hawasomi maelezo kama yakiwapo wanakwenda straight kuuliza details hata kama zipo kwenye bango.
So ili huu mfumo wa biashara mtandaoni ufanikiwe inabidi pande zote mbili wawe serious na kutokuwa na makando makando na kudeal na uhalisia wa mazingira ya kibiashara na sio kuwmbase uongo na taarifa za kusadikika.
Number 1 na 3 yaani umeongea vya maana sana.
Asilimia 95 ya online sellers ni gubu wakipata maswali na hilo la njoo inbox linakera zaidi.
Huko inbox sijui wataenda wangapi. Transparency sifuri.
Mkuu kwa hayo alivyoeleza jamaa hapo juu ni kweli tupu maana hali tulionayo hadi aibu tupu mimi nina kampuni yangu ya kuagiza mizigo midogo midogo hasa electronic kutoka mataifa ya ulaya na amerika, sasa unakuta mtu anakwambia niagizie kitu fulan mpaka ifike nitakuwa tayari nina hela aisee mtu unajipinda kununua mzigo unafika jamaa unamtafuta hapatikani au anasingizia mengine.
Balaa lake linakuja pale amekuagiza kitu ambacho ni ngumu wewe kupata mteja hadi inauma sana mfano nina macomputer ya ajabu ajabu mno bei zake ni ghali sana nimebaki naziangalia tuView attachment 1479452
Kupata tu hata mteja wa kuiulizia ni shughuli
Napitia the same challange aise kumbe ni desturi ya biashara hii asante umenipa namna ya kudeal na hii nshu yan alipe kabla hajapelekewa hata nusu
Napitia the same challange aise kumbe ni desturi ya biashara hii asante umenipa namna ya kudeal na hii nshu yan alipe kabla hajapelekewa hata nusu