Mjomba nna biashara tofaut tofaut 4..hyo ya mahind ni project yangu ya 5 na nakaribia kuvuna mwez ujao.tena mahind yangu ni mazur balaaaa..naombea tuu nyani na binadamu wasinifanyie kitu mbaya.Ni Ile ya kulima mahindi?
Hapa umebeba point zote. Yaani umegusa kunakotakiwa.Kwasisi wa tz hizi biashara za kimtandao tunafanya tu kama hobbies nyingine yaani tunajaribu hatupo nayo serious sana. Hii mwisho wa siku inafanya tusione unafuu unaokuja na huu mfumo.
A. Wauzaji.
1. Anatangaza bidhaa au huduma bei anasema njoo inbox.
2. Anatangaza bidhaa au huduma but hatoi full description ya anachouza au huduma anayotoa.
3. Anakuwa na majibu ya jazba pale wateja wanapohoji au kidadisi kuhusu bidhaa au huduma.
4. Jambo la ajabu ni nafuu sana kwenda kununua kitu kariakoo kuliko mtandaoni, wanauza vitu kwa bei za kilanguzi sana plus wanapenda kuweka gharama za after service kama delivery charges zimuangukie mteja mwisho wa siku wateja hawaoni unafuu wowote.
5. Wauzaji wanakuwa interested kuuza tu na sio kutoa huduma kwa mteja kwa maana ya baada ya mauziano kupata mrejesho wake kuwa ameridhika ama la. Unaweza letewa kitu ukakuta ni kinyume na standard ulitaka then unashangaa ukimjulisha muuzaji anakuwa mbogo na wachache sana wanakuwa tayari kukusaidia kupata haki yako kama mteja.
6. Hakuna hati ya makabidhiano kama risiti wengi wanafanya biashara kiholela tu sababu hawana trainings za kuwa merchant wa mtandaoni.
Yapo mengine mengi sana yanayokwamisha hii kitu.
B. Wanunuzi.
1. Hawana imani na mauziano ya kimtandao.
2. Hawapo tayari kuingia gharama ya ziada na bei halisi wanaijua na wanajua wapi wanaweza pata bidhaa hiyo wakitaka kwa unafuu zaidi.
3. Wengi huagiza kama kujaribu na sio serious kuwa wanataka kuwa tegemezi ya mfumo huo wa manunuzi kwa njia ya mtandao.
4. Uvivu wa kufanya research ya anachotaka mfano hawasomi maelezo kama yakiwapo wanakwenda straight kuuliza details hata kama zipo kwenye bango.
So ili huu mfumo wa biashara mtandaoni ufanikiwe inabidi pande zote mbili wawe serious na kutokuwa na makando makando na kudeal na uhalisia wa mazingira ya kibiashara na sio kuwmbase uongo na taarifa za kusadikika.
1.3mUnaiuzaje hiyoo HP....
Seen!1.3m
1.3m kwa hasara mkuu
Boss toa namba1.3m
Nikutafute nahitaji1.3m
Mkuu unapatikana wapi, na unafuga kuku wa aina ganiBiashara ya Home delivery inachangamoto sana hasa wateja wanapo kuwa ni Wabongo wenzetu.
Inahitaji moyo sana kufanya hii biashara na wabongo make kuna changamoto sana.
Changamoto kubwa sana ni mtu ku cancel oda dakika za majeruhi, au kupunguza quantity, au kupeleka mzigo na simu anazima.
Kuna wakati nilikuwa nafanya Delivery ya kuku walio chinjwa kwa kweli nilienjoy sana kwa Wahindi na Wazungu na nilikuwa napata shida sana kwa Wabonho wenzangu.
Swala la unapigiwa simu uandae kuku labda watatu then baada ya lisaa unaambia sory nitachukua wawili tu make nimepata dharura mtoto kauhua ghafla ilikuwa ni jambo la kawaida sana.
Siku nyingine unaandaa unapeleka na simu inazimwa mtu hapatikani kabisa na mwanzo alikuwa anasisitiza sana upeleke.
Siku nyingine unapewa oda baadae anakuambia tualishe nimepata safari ya ghafla sana au mtoto kaugua ghafla naenda hospitali.
Au unapeleka anatafuta sababu ili asichukue au unafikisha anakuambia amepungukiwa hela hivyo pesa nyingine atanimalizia wakati mwingine.
Au unapelea tna unafika swala la bei mnaanza tena ku negotiate upya na mwanzo alikuwa anajua bei.
Ila kwa Wahindi sikuwahi kukutana na Changamoto ya kwamba usilete tena mara sijui punguza idadi.
Kufanya delivery na wabongo wenzetu labda cash kwanza kitu ambacho pia huwa ni kigumu sana.
Hii ni kwa vitu vingi sana na wanao fanya hizi Biashara watakuwa nimashahidi wa usumbufu wanao upata
IKwasisi wa tz hizi biashara za kimtandao tunafanya tu kama hobbies nyingine yaani tunajaribu hatupo nayo serious sana. Hii mwisho wa siku inafanya tusione unafuu unaokuja na huu mfumo.
A. Wauzaji.
1. Anatangaza bidhaa au huduma bei anasema njoo inbox.
2. Anatangaza bidhaa au huduma but hatoi full description ya anachouza au huduma anayotoa.
3. Anakuwa na majibu ya jazba pale wateja wanapohoji au kidadisi kuhusu bidhaa au huduma.
4. Jambo la ajabu ni nafuu sana kwenda kununua kitu kariakoo kuliko mtandaoni, wanauza vitu kwa bei za kilanguzi sana plus wanapenda kuweka gharama za after service kama delivery charges zimuangukie mteja mwisho wa siku wateja hawaoni unafuu wowote.
5. Wauzaji wanakuwa interested kuuza tu na sio kutoa huduma kwa mteja kwa maana ya baada ya mauziano kupata mrejesho wake kuwa ameridhika ama la. Unaweza letewa kitu ukakuta ni kinyume na standard ulitaka then unashangaa ukimjulisha muuzaji anakuwa mbogo na wachache sana wanakuwa tayari kukusaidia kupata haki yako kama mteja.
6. Hakuna hati ya makabidhiano kama risiti wengi wanafanya biashara kiholela tu sababu hawana trainings za kuwa merchant wa mtandaoni.
Yapo mengine mengi sana yanayokwamisha hii kitu.
B. Wanunuzi.
1. Hawana imani na mauziano ya kimtandao.
2. Hawapo tayari kuingia gharama ya ziada na bei halisi wanaijua na wanajua wapi wanaweza pata bidhaa hiyo wakitaka kwa unafuu zaidi.
3. Wengi huagiza kama kujaribu na sio serious kuwa wanataka kuwa tegemezi ya mfumo huo wa manunuzi kwa njia ya mtandao.
4. Uvivu wa kufanya research ya anachotaka mfano hawasomi maelezo kama yakiwapo wanakwenda straight kuuliza details hata kama zipo kwenye bango.
So ili huu mfumo wa biashara mtandaoni ufanikiwe inabidi pande zote mbili wawe serious na kutokuwa na makando makando na kudeal na uhalisia wa mazingira ya kibiashara na sio kuwmbase uongo na taarifa za kusadikika.
Mkuu ninayo tu hayo madude kama kadhaa hivi nasubiria hali ikae vizuri nitauzaga tuHii kweli bei ya hasara, Spectre ni kuanzia 2M huko, km una bidhaa nyingine zipost mkuu naweza chukua hata moja
YeapSeen!
Funguka please ubunifu upi huoKote kote tuu majanga.. ila muuzaji ukiwa mbunifu nadhani mambo yataenda poa tuu.