Hii ndo kubwa nyingine porojo tu sababu zinaweza kurekebishika..changamoto ingine ni kuwa unaempenda hakupendi, usiempenda ndo anakupenda so wengine inabid tu waoe/waolewe ilimradi
Hakuna tatizo kiongoziHahaha! Asante Mkuu. Safisha kichwa basi kiwe kisafi!
Point poa sana. mpende akupendae, usiyekupenda, majibu ndiyo hayo mkuu
Kweli kuwa MTU usiempenda ni mateso ..Kwa upande wangu, kuliko kujifosi kupenda MTU nsiempenda ni heri tu niwe single au nisioe kabisa, maana itakuwa ni mateso kwangu, sijui wengine wanawezaje Kizimbuzi agata edward

Kwa upande wangu, kuliko kujifosi kupenda MTU nsiempenda ni heri tu niwe single au nisioe kabisa, maana itakuwa ni mateso kwangu, sijui wengine wanawezaje Kizimbuzi agata edward
hahahaPoa first faster replier