Wizi ni mkubwa na wahuni wanauza tiketi za ushuru wanatoka nazo majumbani kwao ni sehemu ya watu ya upigaji huyu Waziri atoe ruhusa iwe kama mwanzo pale bus zipite kushusha na kupakia na huko mbagala,kimbiji wakitaka kufika wafike shida viongozi wetu wakiwa kwenye magari ya Serikali wanasahau kuwa shangazi zao watasafiri vip hii yote ni roho mbaya na ubinafsi tuu..