Changamoto za kumiliki gari "unique"

Boss, unaruhusu vipi mtu wa carwash aendeshe gari lako?
 
Tokea lini ikawa kijiji?
 
Boss, unaruhusu vipi mtu wa carwash aendeshe gari lako?
Hapana Mkuu Sikumpa ruhusa kuendesha, Nilipofika Nikashuka (Gari Sijazima) nikawa ninamuelekeza alioshe na kukubaliana maana ni sehemu ambayo sikuwa nimewahi kuosha Gari. Nikiwa na Mpango aniambie nipaki wapi ili aoshe. Huwezi Amini Mpaka Kesho Sikujua Aliingiaje kwenye Gari Naona Anarudi nyuma kwa speed na kuna Gari Linapita Barabarani (Sikuwa na cha kufanya, Nikabaki nimetulia kama nimemwagiwa maji) wenzie wanampigia kelele kanyaga brake kuna gari nyuma.

Haikuchukua Hata Sekunde 5 alikuwa amelifikia Gari.

Japo Hili Tukio Lilinipa Funzo kubwa mno.
 
Hata wa gereji kutest unamkatalia kabisa leta nikatest mwenyewe nitajua tatizo lililonitela limeisha au. Unampa mtu gari BMW hana hata mia mfukoni.
Hapana Mkuu Sikumpa ruhusa kuendesha, Nilipofika Nikashuka (Gari Sijazima) nikawa ninamuelekeza alioshe na kukubaliana maana ni sehemu ambayo sikuwa nimewahi kuosha Gari. Nikiwa na Mpango aniambie nipaki wapi ili aoshe. Huwezi Amini Mpaka Kesho Sikujua Aliingiaje kwenye Gari Naona Anarudi nyuma kwa speed na kuna Gari Linapita Barabarani (Sikuwa na cha kufanya, Nikabaki nimetulia kama nimemwagiwa maji) wenzie wanampigia kelele kanyaga brake kuna gari nyuma.

Haikuchukua Hata Sekunde 5 alikuwa amelifikia Gari.

Japo Hili Tukio Lilinipa Funzo kubwa mno.
 
Wakuu poleni sana,,, kwahiyo sisi wenye starlet za 98,s tulizonunua kwa milioni nne mkononi tunafaidi eeeeeh issue za spea🤣🤣🤣🤣
Nikiweka full tank nasahau kabisa.
 
Kwa nini inachemsha?
Uspanic,angalia vitu vifuatavyo
1) Je thermostat ni nzima? kwa maana inafunguka
na kufunga katika joto linalokubalika?na pia
angalia radiator fen iko poa?

Thermostat inaweza sababisha kuchemka
engine kama itakuwa ime stuck close position.
fungua hiyo thermostat ichunguze.

2) Check pia kama head gasket ni nzima, kama
imeshaungua utaona vitu vifuatavyo
i) moshi mweupe kwenye exhaust
ii) fungua radiator cap utaona bubbling kwenye
coolant
iii) waweza kuona pia Oil kwenye radiator pia

3) Inaweza kuwa radiotor yako imeziba inahitsjika
Kusafishwa kama huwa unaweka maji ya kawa
ida na si recomended coolant.

Jambo la kwanza kabisa angalia radiator kama safi na thermostat kama viko poa ndipo ufikilie mambo makubwa ya cylinder head, au cylinder gasket .
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…