Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Si kuna recovery truck boss? Gari inabebwa inapelekwa kwa fundi, ama?Umeambiwa gari haitembei inachemsha kitwe anaendaje? Fundi wake anakuja kwenye gari ilipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kuna recovery truck boss? Gari inabebwa inapelekwa kwa fundi, ama?Umeambiwa gari haitembei inachemsha kitwe anaendaje? Fundi wake anakuja kwenye gari ilipo
Boss, unaruhusu vipi mtu wa carwash aendeshe gari lako?Kwasasa Sijajua Ila Natamani Ninunue Gari La Hivi, Nimelitumia Karibu Miaka Miwili (Japo Nitajitahidi Zaidi Kuongeza Umakini katika kulikagua).
Kiukweli Nikubali Hili Lilikuwa Gari la Kwanza na sikuwa Mzoefu kabisa Wa Magari, Aliyenikagulia Alikuwa Jamaa yangu ila Na yeye Naona Hakuwa na Uzoefu wa Haya Magari.
Changamoto Kubwa ilitokea Kuna siku Nilienda, Carwash Jamaa wa Carwash akataka alisogeze ile kuingia na kutaka kuondoka haraka haraka akaweka reverse njiani Anapita Mwenye Kuluger mpya na kuna kimteremko badala akanyage brake akakanyaga mafuta. Akamvaa Mwenye Kuluger Ubavuni akaipindisha mpaka mlango Na Kuumia sana (Bahati Nzuri Kwa nje Gari Yangu haikuumia sana ilibonyea kidogo sana, na ikakwaruzika Taa ya Nyuma kidogo, Sasa ndani vitu vilivurugika sana... wakaniomba msamaha na kurekebisha vitu vichache maana pale pale wana garage hasa bumper nikaondoka, Baada ya Siku Mbili Ndipo Shida zikaanza Kujitokeza.
Tokea lini ikawa kijiji?Nakumbuka mwaka 2019 nilikuwa na Nissan Wingroad niliagiza kutoka Japan, nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Ruvuma kijiji cha Namtumbo. Kijiji kizima kilikuwa kinaishangaa gari yangu, ilikua unique sana kwa wakati ule na ilikuwa inavutia. Sikuwa mdau sana wa speed.
Siku hiyo nimetoka nalo kwangu niende job, asubuhi kulikuwa na ukungu wa baridi barabarani. Haikuwa rahisi kuona mbele mpaka ufute fute kioo kwa ndani. Nikapambana mdogo mdogo kumbe mbele yangu kuna jamaa alikuwa anatoka msituni na mzigo wa kuni kawabebesha punda nashtuka paap hawa hapa. Kanyaga break nikamvaa punda mmoja. Mlango wa pembeni upande wa abiria wote chini, tairi upande huo huo nalo likachomoka. Kushuka nikagundua nimekata "bearing na hub yake yote"
Ikabidi safari iishie hapo. Tukamalizana na yule mkulima kisela. Nikaita fundi, gari ikapelekwa gereji. Kimbembe kikaanza ktk upatikanaji wa ile bearing kule Songea. Kila duka nililokuwa nazunguka nikiwatajia aina ya gari hawanielewi, wanaishia kuniuliza tu, wingroad? Ndio gari gani? Zunguka sana kona zote wapi. Nikaagiza Dar ambapo pamoja na gharama za usafiri mpaka inafika Namtumbo iliteketea kama 250k, inshort mpaka gari inarudi njiani na kufunga tairi nilimaliza kama 350k wkt ingekua hizi gari zingne hata 200k nisingefikisha.
Nilikaa nalo miezi mitatu mbele akatokea mkulima mwenye wenge la magari baada ya kuuza ufuta. Nikamsukumia.
Kwa gari ya ubalozi sawa tena marekani au UAESi kuna recovery truck boss? Gari inabebwa inapelekwa kwa fundi, ama?
Hata wa gereji kutest unamkatalia kabisa leta nikatest mwenyewe nitajua tatizo lililonitela limeisha au. Unampa mtu gari BMW hana hata mia mfukoni.Boss, unaruhusu vipi mtu wa carwash aendeshe gari lako?
Hapana Mkuu Sikumpa ruhusa kuendesha, Nilipofika Nikashuka (Gari Sijazima) nikawa ninamuelekeza alioshe na kukubaliana maana ni sehemu ambayo sikuwa nimewahi kuosha Gari. Nikiwa na Mpango aniambie nipaki wapi ili aoshe. Huwezi Amini Mpaka Kesho Sikujua Aliingiaje kwenye Gari Naona Anarudi nyuma kwa speed na kuna Gari Linapita Barabarani (Sikuwa na cha kufanya, Nikabaki nimetulia kama nimemwagiwa maji) wenzie wanampigia kelele kanyaga brake kuna gari nyuma.Boss, unaruhusu vipi mtu wa carwash aendeshe gari lako?
Hapana Mkuu Sikumpa ruhusa kuendesha, Nilipofika Nikashuka (Gari Sijazima) nikawa ninamuelekeza alioshe na kukubaliana maana ni sehemu ambayo sikuwa nimewahi kuosha Gari. Nikiwa na Mpango aniambie nipaki wapi ili aoshe. Huwezi Amini Mpaka Kesho Sikujua Aliingiaje kwenye Gari Naona Anarudi nyuma kwa speed na kuna Gari Linapita Barabarani (Sikuwa na cha kufanya, Nikabaki nimetulia kama nimemwagiwa maji) wenzie wanampigia kelele kanyaga brake kuna gari nyuma.Hata wa gereji kutest unamkatalia kabisa leta nikatest mwenyewe nitajua tatizo lililonitela limeisha au. Unampa mtu gari BMW hana hata mia mfukoni.
Kwa nini inachemsha?Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.
Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.
Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.
Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.
Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.
Msaada Hata wa mawazo.
HahahaNakumbuka mwaka 2019 nilikuwa na Nissan Wingroad niliagiza kutoka Japan, nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Ruvuma kijiji cha Namtumbo. Kijiji kizima kilikuwa kinaishangaa gari yangu, ilikua unique sana kwa wakati ule na ilikuwa inavutia. Sikuwa mdau sana wa speed.
Siku hiyo nimetoka nalo kwangu niende job, asubuhi kulikuwa na ukungu wa baridi barabarani. Haikuwa rahisi kuona mbele mpaka ufute fute kioo kwa ndani. Nikapambana mdogo mdogo kumbe mbele yangu kuna jamaa alikuwa anatoka msituni na mzigo wa kuni kawabebesha punda nashtuka paap hawa hapa. Kanyaga break nikamvaa punda mmoja. Mlango wa pembeni upande wa abiria wote chini, tairi upande huo huo nalo likachomoka. Kushuka nikagundua nimekata "bearing na hub yake yote"
Ikabidi safari iishie hapo. Tukamalizana na yule mkulima kisela. Nikaita fundi, gari ikapelekwa gereji. Kimbembe kikaanza ktk upatikanaji wa ile bearing kule Songea. Kila duka nililokuwa nazunguka nikiwatajia aina ya gari hawanielewi, wanaishia kuniuliza tu, wingroad? Ndio gari gani? Zunguka sana kona zote wapi. Nikaagiza Dar ambapo pamoja na gharama za usafiri mpaka inafika Namtumbo iliteketea kama 250k, inshort mpaka gari inarudi njiani na kufunga tairi nilimaliza kama 350k wkt ingekua hizi gari zingne hata 200k nisingefikisha.
Nilikaa nalo miezi mitatu mbele akatokea mkulima mwenye wenge la magari baada ya kuuza ufuta. Nikamsukumia.
HahahaWakuu poleni sana,,, kwahiyo sisi wenye starlet za 98,s tulizonunua kwa milioni nne mkononi tunafaidi eeeeeh issue za spea🤣🤣🤣🤣
Nikiweka full tank nasahau kabisa.