Changamoto za kumiliki gari "unique"

Nina simu hapa display imekufa nilidondosha.Aisee simu ni kali,ila sijui ni aina gn?

Ukiweka laini texts na calls zinaingia lakini huoni ni nani?
Nimezunguka sanaaaaaa but wapiii,ndo basi tena nimeiweka tu sijui cha kufanya
Hahahahaaaaa mzee unatumiaje cm hujui ni aina gani? Au ulipewa zawadi haukuinunua?
 
@National Anthem Lyamber mawazo yenu yanahitajika hapa viongozi
 
Kuyajua kwa maana kujua vipuri vya gari lako na wapi unaweza kupata vipuri. Maana ni dhahiri huyo jamaa hakuwa anafahamu wapi pa kupata vipuri.
Upo sahihi kaka. Inaonekana jamaa alinunua tu gari hakua na ABC ikitokea kifaa kimekorofisha wapi atapata replacement. Au pengine nae alifikiri dunia ni kijiji, ukitaka chochote unaagiza fasta kama alivyoagiza ford [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una contact zake mhindi? Natafuta kioo cha kia grand carnival
 
Ubadiri injini kuweka ya gari tofauti ama ya bmw?
 
JituMirabaMinne
 
Nina simu hapa display imekufa nilidondosha.Aisee simu ni kali,ila sijui ni aina gn?

Ukiweka laini texts na calls zinaingia lakini huoni ni nani?
Nimezunguka sanaaaaaa but wapiii,ndo basi tena nimeiweka tu sijui cha kufanya
Duuh yaani weee acha nina Tablets aina ni MPman nimetafuta kioo nimeshindwa, ilinunuliwa Swiss huko naitazama tuu hapa. Sina hamu na vitu vya peke yangu.
 

Mtafute [mention]Mshana Jr [/mention] na [mention]Prondo [/mention] hao ndio wako na kundi lao la europian class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…