Changamoto za kumiliki gari "unique"

Changamoto za kumiliki gari "unique"

Nina simu hapa display imekufa nilidondosha.Aisee simu ni kali,ila sijui ni aina gn?

Ukiweka laini texts na calls zinaingia lakini huoni ni nani?
Nimezunguka sanaaaaaa but wapiii,ndo basi tena nimeiweka tu sijui cha kufanya
Hahahahaaaaa mzee unatumiaje cm hujui ni aina gani? Au ulipewa zawadi haukuinunua?
 
Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.

Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.

Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.

Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.

Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.

Msaada Hata wa mawazo.
@National Anthem Lyamber mawazo yenu yanahitajika hapa viongozi
 
Kuyajua kwa maana kujua vipuri vya gari lako na wapi unaweza kupata vipuri. Maana ni dhahiri huyo jamaa hakuwa anafahamu wapi pa kupata vipuri.
Upo sahihi kaka. Inaonekana jamaa alinunua tu gari hakua na ABC ikitokea kifaa kimekorofisha wapi atapata replacement. Au pengine nae alifikiri dunia ni kijiji, ukitaka chochote unaagiza fasta kama alivyoagiza ford [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi changamoto niliyoipata kwa mazda cx 5, nikioo cha mbele nilitafuta sana aisee, baadae nikawa nimepata kioo pale mitaa ya gerezani kwa jamaa mmoja hv muhidi halafu bei ya ikawa kironga 400k tu nikaweka kipya maisha yameendelea

Ukweli naenjoy sana kuwa unique tofauti na kufanana na wengine, kuna muda nikipata watu wanazani gari ya ubalozi kwa unyama ilionao, tusiogope kuwa wa tofauti
Una contact zake mhindi? Natafuta kioo cha kia grand carnival
 
Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.

Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.

Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.

Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.

Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.

Msaada Hata wa mawazo.
Ubadiri injini kuweka ya gari tofauti ama ya bmw?
 
Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.

Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.

Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.

Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.

Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.

Msaada Hata wa mawazo.
JituMirabaMinne
 
Nina simu hapa display imekufa nilidondosha.Aisee simu ni kali,ila sijui ni aina gn?

Ukiweka laini texts na calls zinaingia lakini huoni ni nani?
Nimezunguka sanaaaaaa but wapiii,ndo basi tena nimeiweka tu sijui cha kufanya
Duuh yaani weee acha nina Tablets aina ni MPman nimetafuta kioo nimeshindwa, ilinunuliwa Swiss huko naitazama tuu hapa. Sina hamu na vitu vya peke yangu.
 
Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.

Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.

Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.

Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.

Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.

Msaada Hata wa mawazo.

Mtafute [mention]Mshana Jr [/mention] na [mention]Prondo [/mention] hao ndio wako na kundi lao la europian class
 
Back
Top Bottom