Changamoto za kumiliki gari "unique"


Mnatakiwa kitafuta Coolant ina leak wapi?

Je ni kwenye water pump, Thermostat, au pipe za HVAC.... Maana ndio issues common za leak kwenye engine kama hiyo yako M54B22.

The worst ni kama kuchemsha kumepelekea leak ianze ndani ya engine. Hapa utatoboka.
 
Waone https://instagram.com/east_cars?igshid=YmMyMTA2M2Y=
 

Hata mtoto ni rahisi sana kumpata, ishu huja kumuhudumia...
 
Mwanzo Kabisa ilikua inapasua pipe, yaani ikichemsha maji yantokea kwenye pipe ikiziba inatoboa sehemu nyingine tukabadilisha thermostat, water pump ikatulia kidogo nimeitumia kama miezi miwili Juzi Tar 18 natoka asubuhi nimeikagua kama kawaida maji yapo sawa natoka napandisha kimlima kidogo naona inakosa nguvu, nikamaliza mlima nikaweka pembeni kufungua bonet mvuke unatoka.

Baada ya Hapo Ikakosa Nguvu Kabisa, Ukiwasha Kuondoka Haiondoki. Kuipeleka Garage ilibidi kuivuta.
 
Kama kuchemsha hapo ni water pump, tu. Badirisha water pump na thermostat mzigo unaingia kazini kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…