Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Ok, ila hapo sasa utakuwa unaendesha toyota kwenye bodi ya bmwAlishauri niweke mark 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, ila hapo sasa utakuwa unaendesha toyota kwenye bodi ya bmwAlishauri niweke mark 2
Asante sana ngoja niwatafute.Mtafute [mention]Mshana Jr [/mention] na [mention]Prondo [/mention] hao ndio wako na kundi lao la europian class
Ntumie picha PMNina simu hapa display imekufa nilidondosha.Aisee simu ni kali,ila sijui ni aina gn?
Ukiweka laini texts na calls zinaingia lakini huoni ni nani?
Nimezunguka sanaaaaaa but wapiii,ndo basi tena nimeiweka tu sijui cha kufanya
Yaani Acha kabisa.Ok, ila hapo sasa utakuwa unaendesha toyota kwenye bodi ya bmw
Hivi kuna siri gani? Yani kwann wenzetu wameweza sisi tushindwe?
Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.
Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.
Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.
Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.
Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.
Msaada Hata wa mawazo.
Dunia ya sasa usijue ni aina gani ya simu halafu unaiita kali? 😁😁Nina simu hapa display imekufa nilidondosha.Aisee simu ni kali,ila sijui ni aina gn?
Ukiweka laini texts na calls zinaingia lakini huoni ni nani?
Nimezunguka sanaaaaaa but wapiii,ndo basi tena nimeiweka tu sijui cha kufanya
Hahahaaa nimekumbuka miaka ya 2000 mwanzoni kuna vibaka walikwapua mkoba wa sista duu k/koo wakakuta Mp3& Mp4 player ya kampuni inaitwa "active" kwa bahati mbaya haikua na charger yake na haitumii betry. Ilikua na bonge la screen na mavideo na miziki kibao.Duuh yaani weee acha nina Tablets aina ni MPman nimetafuta kioo nimeshindwa, ilinunuliwa Swiss huko naitazama tuu hapa. Sina hamu na vitu vya peke yangu.
Hahahaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukinunua gari/kitu unique,nashauri ununue viwili au vitatu kabisa....utanishukuru badae[emoji16]
Duh mwanangu hiyo ID yako mbona siielewi [emoji26]. Kwahyo wewe ndio Israel mtoa roho?Ntumie picha PM
Ni bora mara 100 kuliko kero za kuchemsha kila saa gari inatoa moshi kama meli ya mkaaOk, ila hapo sasa utakuwa unaendesha toyota kwenye bodi ya bmw
RRONDO Mad Max National AnthemMimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.
Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.
Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.
Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.
Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.
Msaada Hata wa mawazo.
Daaah mzee baba pole sana. Vipi hujataka kujua uliyemuuzia nae yupo ktk hali gani na hiyo ndinga kwa sasa?Gari unique ukitaka kutafuta spea yake wewe mwenyewe unajikatisha tamaaa kabla hujaanza kuzunguka. Maana unakua unayajua mazoezi mazoezi yake kuzunguka mji mzima na ilala yote.
Dunia kijiji sawa, utaagiza online lakini utaskilizia mpaka mwezi na nusu uishe spea ifike ukalipie parcel yako ya RDP kwa watu Posta wakupeleke TRA mzozane kodi mmalizane, zote hizi ni gharama ( time and money) bado mzigo haujapotea.
Niliwahi miliki gari inaitwa Opel Vita mpaka na mimi nilikuwa naujua ufundi. Gari inazingua kila ikijiskia, iliwahi nipasukiwa kioo cha nyuma nikaagiza South Africa zilinitoka laki 5 karibia 6 kwa EMS mzigo ulinifikia na nilikua roho juu juu nikiwaza kinaweza pasuka njiani maana kioo cha nyuma huwa hakipasuki kuweka crack, kile kina mwagika vipande coz ni single layer.
Safari nyingine nikapasua kioo cha mbele, Sauzi nilikosa nikakipata Nairobi naada ya kugoogle sana, kupita kwenye ebay, amazon aliexpress na website kote nilimaliza sikupata, ila nikanahatisha Kenya na cost zote ikawa ni 250,000, yakaanza mazoezi kutafuta transporter na kuhakikisha kinanifikia salama, na hapo nilikua mkoani Tabora, mda wote huo gari nimepaki huwez tembea, na kipindi natafuta kioo cha nyuma nilifunika na makaratasi kuzuia vumbi nikawa natumia gari watu wananishangaa wanacheka gari haina kioo na hakipatikani basi kioo kilifika salama nikashusha pumzi
Bado mahitaji mengine ya spea ikawa yanahitajika kwa vifaa vingine solution ikawa ni kukimbilia ebay kuchapana email na wazungu kisa natafuta CV joint, bearing, Zlink, shock ups na vingine, maana bongo nzima hakuna kila unakoenda ukitaja jina la gari jibu ni Aaaah hiyo sina ndo gari gan? Unapicha ya hiyo gari? Naomba chassis namba nikuagizie wakat na mm nakua nimechoka mambo ya kuagiza kusubiri kitu miezi af kakitu kadogo tu, na kiri nilikuwa mtumwa sana. Nilikuja uza ile gari nikamshukuru Mungu kwa kuachana na ndoa ya kikristo.
Ushauri wangu kwa mtu yoyote ntamwambia ukweli gari unique aachane nayo kabisa itampa vidonda vya tumbo na presha. Gari unatakiwa uiendeshe sio ikuendeshe inavyotaka.
Mzee sisi washamba acha tukomae na mjapani tu. Hayo mambo ya sensor million 3 wakati nikienda Tandale na elfu 40 napata sensa mbili ya kufunga na ya akiba nawaachieni nyinyi mafogo.Tunakosa sana fursa. Kuna nchi ndogo na za kishamba tu watu wanaendesha ndinga za Europe kinyama tu. Tanzania tuna ushamba sana yaani kila mtu IST, Harrier, Rumion, Rav4, Hillux, Prado, Corolla, Mark x, Premio, Vanguard. Yaani ni kero. Ukiingia mtandaoni leo gari kali za Europe ni bei chee sana kuliko hizo za Kijapan ambazo nyingi ni mabati matupu, hazitulii barabarani, lakini tunalazimika wote kununua hizo za Japan. Hivi unajua BWM kali kabisa mtandaoni used unapata kwa bei rahisi kuliko Vanguard au Rav4 Miss Tanzania? Likewise, Audi, Volvo, VW Tiguan, VW Tuareg, Ford Escape, Benz nyingi ni bei affordable kuliko Toyota. Botswana tu hapo watu wako na ndinga kibao za Europe, kwa Tanzania utajuta, spea hakuna!
Hio Wingroad kuna mtu nilimuuzia engine yake ya QG18DE aliokuwa nayo ilikufa nikampa yangu nzima kabisa na gearbox yake. Sijui inaendeleaje huko iliko ila nashukuru mungu alinipa hela nzuri tu tofauti na wale vibwengo wa Tandale na Ilala 😂😂😂Daaah mzee baba pole sana. Vipi hujataka kujua uliyemuuzia nae yupo ktk hali gani na hiyo ndinga kwa sasa?
Mimi yule mkulima niliyemuuzia alikua analiendesha kwa fujo sana lile Wingroad. Alikua mtu wa bebes na mitungi saaaana. Alikuja kupata nalo ajali usiku wa manane akiwa bwii miezi minne baada ya kumuuzia likapiga sarakasi gari ikatoka nyang'a nyang'a bahati nzuri aliambulia michubuko tu na alipona. Gearbox ilipasuka, kitu pekee kilichobaki ilikua ni engine na tairi mbili tu.
Alihangaika kutafta spare akakosa. Mwisho akakata tamaa akaamua kukata body na kuwauzia jamaa wa vyuma chakavu.
Tz ni kama tumerogwa na mjapani. Imagine juzi kati nilikua Migori hapo Kenya, vijana IST wanaziita babywalkers, ila huku ndio unakuta mabishoo wanavimba nazo bar. Na kwa namna upatikanaji wa spare unavyosumbua bado tutabaki kua watumwa wa gari za kijapani ambazo spare zimejaa bwerere madukaniTunakosa sana fursa. Kuna nchi ndogo na za kishamba tu watu wanaendesha ndinga za Europe kinyama tu. Tanzania tuna ushamba sana yaani kila mtu IST, Harrier, Rumion, Rav4, Hillux, Prado, Corolla, Mark x, Premio, Vanguard. Yaani ni kero. Ukiingia mtandaoni leo gari kali za Europe ni bei chee sana kuliko hizo za Kijapan ambazo nyingi ni mabati matupu, hazitulii barabarani, lakini tunalazimika wote kununua hizo za Japan. Hivi unajua BWM kali kabisa mtandaoni used unapata kwa bei rahisi kuliko Vanguard au Rav4 Miss Tanzania? Likewise, Audi, Volvo, VW Tiguan, VW Tuareg, Ford Escape, Benz nyingi ni bei affordable kuliko Toyota. Botswana tu hapo watu wako na ndinga kibao za Europe, kwa Tanzania utajuta, spea hakuna!
[emoji23][emoji23][emoji23] hongera sana mkuu. Ukimkuta mtu mwenye wenge na uhitaji ananunua kwa ela nzuri tu. Mambo ya kupeleka spare kwa wakataji ni jau sana, wanalalia sana bei. Wingroad ni gari nzuri, na ukifunga spare nzima hainaga magonjwa ya hapa na pale. Ila inahitaji uwe na discipline tu na matunzo.Hio Wingroad kuna mtu nilimuuzia engine yake ya QG18DE aliokuwa nayo ilikufa nikampa yangu nzima kabisa na gearbox yake. Sijui inaendeleaje huko iliko ila nashukuru mungu alinipa hela nzuri tu tofauti na wale vibwengo wa Tandale na Ilala [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna siri gani? Yani kwann wenzetu wameweza sisi tushindwe?