Wakwetu03
Senior Member
- Sep 15, 2010
- 194
- 87
Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya kuomba kazi haifunguki. Naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya kufanya ili nikamilishe maombi haya maana leo ndio siku ya mwisho ya kuwasilisha. Asanteni sana