Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

Amen😍
 
Tulikutangulia mwaka mmoja tu. At 59 tulipata kitinda mimba na mama yake alikuwa 55. Mambo ni kujipanga na sasa yupo darasa la kwanza, raha iliyoje katika familia
 
Tulikutangulia mwaka mmoja tu. At 59 tulipata kitinda mimba na mama yake alikuwa 55. Mambo ni kujipanga na sasa yupo darasa la kwanza, raha iliyoje katika familia
Sijui ilikuwaje mama at 55, basi ndo hivyo ilipangwa
 
Do what makes u happy, mimi sio yule yule sio yeye kila mtu ana namna yake yakuendesha maisha yake though ni ushauri mzur umetoa ingawa it wont work to every one
 
hujaongelea umri wa Paschal Mayala jnr
 
Daaaa !yaonesha mkeo ni mbichi kabisa na Bado anaitaji kama baba unaitafuta 60 Means mkeo anaweza kuwa 40 umo,dadeki unamwacha mbichi.
Huyu kuna madam flan anaitwa Joy alimwoa miaka ile ya ujana wake
So there after huyo Joy akakimbilia kwa babu Biden mpaka wa leo so probably hii ni second marriage yake
All in all it's life
Happy birthday mzee P
 
Tulikutangulia mwaka mmoja tu. At 59 tulipata kitinda mimba na mama yake alikuwa 55. Mambo ni kujipanga na sasa yupo darasa la kwanza, raha iliyoje katika familia
Utasemesha mtoto na Pension? So sad.Age kama hiyo sio fare kuzaa

Halafu uwezo wake wa kiakili ukimzaa umri huo na mkeo toto shuleni lazima liwe kaputi kichwani as time goes on utagundua hilo

Umri huo sio wa kuzaa
 
Safi sana kiongozi kwani vibomu vikizidi kwa watoto wako hupelekea kutopokea simu za mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…