bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Wamasai mba tabu sanaNilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote. Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]