Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Niligusisha kwenye tandiko (ngozi ya ng'ombe)Tutafutane mkuu tusimuliane haya. Hii kitu unapigwa kisu alfajiri umezungukwa na wamama wakiimba! Ukilia wanalia, ukikaa kimya vigelele kwa wingi. Ila hiyo ya kukaa miezi miwili ndio ukapona ulichelewa sana, inatakiwa ndani ya mwezi iwe imepona kabisa. Utakuwa hukula kilaii ya kutosha[emoji2][emoji2]