Wamasai mba tabu sanaNilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote. Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]
Sio kweli kwa upande wangu nilitahiriwa udogoni kwa sabb mzee wangu3 ni daktari ikawa ni rahisi nina mashine kubwa hadi inasemekana kuna msichana nimesogeza kizazi chakeNivema kutahiri ukiwa mtoto kwani hata uponaji huwa ni haraka. lakini kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia sio vema kumtahiri mtoto chini ya umri wa miaka 5 akanambia kuwa inaweza kuathiri ukuaji wa mashine nakupelekea matoto kuwa na mshine ndogo kuliko kawaida maarufu kama kibamia atakapokuwa mkubwa ..sijui kuna ukweli gani hapo jamani...
Duuuh , mkono Wa sweta Sio Poa aisee , Hua unahifadhi sana uchafu , watu Wa huko wanahitaji kubadilikaKanda ya ziwa hakuna utararibu wa kutahiri, ukiona mtu katahiriwa basi ni mwislamu au kakutana na zahama ya kuchekwa akiwa shuleni au kulazimishwa na bint (mpenziwe)!
Nilitahiri kwa shinikizo lake. hivyo alifurahi sanasasa mke alikubaliana na new machine?
ni kweliTumuulize mtoa mada atupe ushuhuda labda ndiyo sbb yeye kachelewa mkuu.
alishaonja iliyotahjiriwa😉Nilitahiri kwa shinikizo lake. hivyo alifurahi sana
Haya ndiyo makabila yanayoongoza mkono wa sweta?
Hoja imepita mkuu, swali lingine kwa mgombeaUnauliza Bange Tarime na Makambako?
ilikuokoaje?Na jamaa wa kanda ya ziwa, nilitahiriwa nikiwa std 3!!!! Zile nyuzi zilifumuka. Dawa ya macho ile kama mafuta ya mgando iliokoa jahazi!!
Ile dawa inatibu kidonda kwa haraka sana.ilikuokoaje?
inaitwaje?Ile dawa inatibu kidonda kwa haraka sana.
Hahahaaa Ulikua kwenye mawazo yangu yaan na mimi nilitaka kukumbusha enzi zile babu alikua na kakirungu anakupiga kwenye vifundo vya mguu(ankle) ukidindisha na mashine inalala automatic. Miksa kukojoa kwa kukuchuchumaa dah raha sana aisee jandoni enzi zetuNakumbuka babu alikuwa anakaa na kirungu kidogo chakutupiga ugoko au kiwiko ila mshua alale galfa kuokoa jahazi
inaitwaje?
Miezi miwili ? Watu tumekatwa bila ganzi 12 yrs ndani ya 2 weeks tupo wazima .Ulichelewa sana kupona na miaka nayo imekumalizaNilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote. Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]
Huo ni uwongo hata waarabu wanatahiri mtoto ndani ya 30 days toka kuzaliwa.Ukubwa wa uume au udogo unategemea /inarithishwa na vina saba (DNA)toka kwa baba wa mtoto hakuna uhusiano na muda wa kutahiriwa.Nivema kutahiri ukiwa mtoto kwani hata uponaji huwa ni haraka. lakini kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia sio vema kumtahiri mtoto chini ya umri wa miaka 5 akanambia kuwa inaweza kuathiri ukuaji wa mashine nakupelekea matoto kuwa na mshine ndogo kuliko kawaida maarufu kama kibamia atakapokuwa mkubwa ..sijui kuna ukweli gani hapo jamani...
Njoo Makete, mkono sweta ni Asili, ndiyo maana hii kampeni ilitembea Sana maeneo hayo. Kutairi ni utamaduni, kama haupo katika jamii haiwi issue.Duuuh , mkono Wa sweta Sio Poa aisee , Hua unahifadhi sana uchafu , watu Wa huko wanahitaji kubadilika
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote. Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]
YesMiezi miwili ? Watu tumekatwa bila ganzi 12 yrs ndani ya 2 weeks tupo wazima .Ulichelewa sana kupona na miaka nayo imekumaliza