KERO Changamoto za Mifumo ya Kidijitali Katika Hospitali

KERO Changamoto za Mifumo ya Kidijitali Katika Hospitali

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Habarini wadau.

Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali.

Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba

Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la mfumo kujaza data za ugonjwa ni changamoto.

Hadi nesi mmoja analalamika anasema kama ndio hivyo mgonjwa atakuwa anatoka saa tisa tangu asubuhi maana hali ni mbaya.

Angalizo nikwamba najua serikali mna nia nzuri ya kuendana na wakati na pia kuboresha huduma isije ikawa ni kero na kuongeza vifo kwa wagonjwa maana madaktari wanatumia muda mrefu kuhudumia mgonjwa mmoja kisa mfumo.

Ushauri wangu ni kwamba serikali fanyeni haraka kuchunguza mifumo yenu.

Namalizia kwa kusema ni mwendo wa kugaragara.
 
Back
Top Bottom