Changamoto za mjini hukimbiza wengi kutafuta unafuu wa maisha

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,008
Reaction score
17,480
Nakumbuka miaka ya 80s mitaa ya kariakoo kulikuwa na nyumba za tope za Wamanyema kutoka (kigoma) na wanyamwezi (kutoka tabora).

Maisha yalivyokuwa yanapanda watu wakapakimbia Kariakoo na kuja kujenga au kupanga maeneo ya Ilala hivyo hivyo wakakimbia na kuja Buguruni mpaka uzee unawadaka na kufariki na maisha yanaishia hapo na kuacha kizazi chao katika umasikini wa kutupwa.

Hao watoto nao wanaanza kukimbia Buguruni na kuhamia Kipawa au Gongo la Mboto, n.k, n.k. Point yangu ni hii hapa kwamba wewe unakimbia changamoto za maisha kwa kutafuta kuishi sehemu zenye unafuu wa maisha kumbe unakimbia fursa na utajiri unakimbilia umasikini.

Hao Wamanyema na Wanyamwezi na Wazaramo ambayo enzi hizo walikuwa wanamiliki nyumba za tope waliokomaa na changamoto za maisha wakapambana nazo mwisho wake wamekuja kuuza viwanja walipojenga hizo nyumba za tope kwa million kuanzia 200 na kuendelea (enzi hizo) na waliokuwa na akili waliingia ubia na wafanyabiashara kwa kupatiwa apartment ya biashara au katika maghorofa na sasa wanakula kuku.

Ukiona sehemu kuna changamoto zinazoendana na wingi watu jua ndo penye fursa usipakimbie eti unatafuta sehemu zenye unafuu wa maisha kwa kufanya hivyo unakimbilia umasikini labda kama unaenda kujipanga kimkakati.

Changamoto hukomaza akili na kukupa ujasiri wa kupambana na maisha. Kwa mfano kijana umebahatika kupaya mahali pa kujishikza Dar eti unakimbia unaenda mikoani? Labda kama mikoani umepata deal za kukutoa lakini unarudi kwenu kufanya nini kwa mfano?
 
Nje ya mada...hivi kuku ni chakula cha wadash eeh?
 
Uliofanya kwa huyo dada sio ujanja jombaa ni ukibaka!
 
JINGA SANA WEWE TENA JIZI. YAANI UNAWAIBIA HADI MACHANGUDOA NDIO MAANA MNA LAANA NYIE VIJANA WAPENDA MITEREMKO!
 
Hiii inaonyesha kwa jinsi gani akili za wabongo ziko kwenye chupi. Niliwahi kuleta Uzi kuhusu kuwaza ngono kunavyoharibu ndoto za wabongo zaidi zaidi vijana. Nimemalizia kwa kibwagizo cha ngono asilimia karibu 99% wamedaka na kutoa comments za ngono! Vijana angalia umasikini unabisha mlangoni!
 
Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli aisee..anajisifia ujinga hapa...kaharibu maana nzima la andiko lake
Hiii inaonyesha kwa jinsi gani akili za wabongo ziko kwenye chupi. Niliwahi kuleta Uzi kuhusu kuwaza ngono kunavyoharibu ndoto za wabongo zaidi zaidi vijana. Nimemalizia kwa kibwagizo cha ngono asilimia karibu 99% wamedaka na kutoa comments za ngono! Vijana angalia umasikini unabisha mlangoni!
 
Uliofanya kwa huyo dada sio ujanja jombaa ni ukibaka!
Hiii inaonyesha kwa jinsi gani akili za wabongo ziko kwenye chupi. Niliwahi kuleta Uzi kuhusu kuwaza ngono kunavyoharibu ndoto za wabongo zaidi zaidi vijana. Nimemalizia kwa kibwagizo cha ngono asilimia karibu 99% wamedaka na kutoa comments za ngono! Vijana angalia umasikini unabisha mlangoni!
 
ahaa! kumbe wewe ni kibaka ndio maana unarahisisha mambo utampigaje muuza ngozi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii inaonyesha kwa jinsi gani akili za wabongo ziko kwenye chupi. Niliwahi kuleta Uzi kuhusu kuwaza ngono kunavyoharibu ndoto za wabongo zaidi zaidi vijana. Nimemalizia kwa kibwagizo cha ngono asilimia karibu 99% wamedaka na kutoa comments za ngono! Vijana angalia umasikini unabisha mlangoni!
 
Hiii inaonyesha kwa jinsi gani akili za wabongo ziko kwenye chupi. Niliwahi kuleta Uzi kuhusu kuwaza ngono kunavyoharibu ndoto za wabongo zaidi zaidi vijana. Nimemalizia kwa kibwagizo cha ngono asilimia karibu 99% wamedaka na kutoa comments za ngono! Vijana angalia umasikini unabisha mlangoni!
Kwanza mie sio kijana...pili mfano wako ulioweka hapo mwisho ndo umekutambulisha wew ni namna gani....cha muhimu ni acha ukibaka mkuu.
 
Nyani aliwekewa ndizi na noti ya 10,000. Nyani kachagua ndizi badala ya noti ya 10,000 kwasababu hajui 10,000 ingenunua ndizi nyingi. 99% ya wachangiaji wameona ngono zaidi ya maarifa ya Uzi! Wewe mmoja wapo!
 
Ulichoandika ni sawa na kuvaa suti kali halafu usoni umejipaka kinyesi watu wataona kinyesi na sio suti yako kali

Kwa hivyo wachangiaji waliopita wanakwambia kua nenda kanawe hicho kinyesi ulichojipaka usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom