8. CCM kuondoka Madarakani kwa Amani!1. Shida ya maji
2. Mafuriko wakati wa mvua
3. Changamoto ya Ajira
4. Mpangomji mbovu na Ujenzi holela
5. Uongozi mbovu
6. Foleni Dar es Salaam
7. Ukosefu wa demokrasia
View attachment 3564181View attachment 3564183
Hivi vyote ni mtaji wa CCM.1. Shida ya maji
2. Mafuriko wakati wa mvua
3. Changamoto ya Ajira
4. Mpangomji mbovu na Ujenzi holela
5. Uongozi mbovu
6. Foleni Dar es Salaam
7. Ukosefu wa demokrasia
View attachment 3564181View attachment 3564183
Tukisolve hayo matatizo tunapaswa kuanza kukuza teknolojia, bado vitu vya kuahidi haviishiHivi vyote ni mtaji wa CCM.
Wakivimaliza watawadanganya nini Wadanganyika?
Sio tu hawana IQ ya kusolve hayo matatizo, hata hayo matatizo yenyewe hawayaoni kama ni tatizoTukisolve hayo matatizo tunapaswa kuanza kukuza teknolojia, bado vitu vya kuahidi haviishi
Ni basi tu aidha CCM hawataki Tanzania iendelee au hawana IQ kubwa kusolve matatizo hayo
Itoke wapi? Watu walishasema ni kijitabu tuNgoja tuone kama Katiba mpya itakuwa nzuri